PreGE2025 Lissu dhidi ya Ukraine, Gaza, DRC na Sudan, ana bahati mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Trump bado anahangaika na waliotaka kumuua , hawezi kuhangaika na waliotaka kumuua Lissu. Ulaya wanahangaika na madai na kero za raia wao. Poor planning and timing

Trump bado anahangaika na waliotaka kumuua , hawezi kuhangaika na waliotaka kumuua Lissu. Ulaya wanahangaika na madai na kero za raia wao. Poor planning and timing.
Is that all you have?
 
Is that all you have?
Yaani kaka silaha zote za Magharibi zimeelekezwa Ukraine, Israel, na Sudan. Ndio maana hata DRC ugomvi unapwaya. Kagame hana silaha. Kusoma alama za nyakati ni muhimu sana kwenye kila mipango.
 
Soma trend ya wote wanaotekwa ili uone wamefanya nini na ni watu Gani na wana jihusisha na nini ndio tunaweza kuja na hoja nzito humu.
Yule dogo aliyechoma picha ya Rais alistahili kuuawa? Soka, kibao na mdude walistahili adhabu hii?
 
Kwani wewe unaweza kuchoma picha ya Rais hadharani?
Hizo shida kubwa zilianza na udogo!
Hata kule Marekanani Kuna watu hawapendi Muungano wao na wanadai una kasoro nyingi sana, lakini huwasikii kwenye vyombo vya habari vya nje wala kwenye kampeni zao za uchaguzi, ni mwiko mkubwa kutamka. Sisi kwetu watu wanajifanya Tanzania hakuna mwiko wala cha kuficha. Hapo ndio balaa linapoanzia.

Kule Marekanani vijana wengi sana na zaidi weusi wako magerezani bila sababu za msingi na weusi kuuliwa bila kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Lakini Kuna mtanzania mwenzetu anataka kuwaaminisha watu huko hakuna doa hata Moja ila Tanzania tu, tena wanakasirika sana kusikia mtu wa nje anaisifu Tanzania.
 
Soma trend ya wote wanaotekwa ili uone wamefanya nini na ni watu Gani na wana jihusisha na nini ndio tunaweza kuja na hoja nzito humu.
Wewe utafanya nini siku ukimkuta mke wako na mwao wanasonya huku wanachoma picha zako, utawaletea cake na chocolate? Be serious.
 
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.

Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?

Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Hiki kinachotokea katika nchi tajwa ni matokeo (outcome)...lakini kinachotokea katika nchi ya Tanzania ni mchakato(process) unaoelekea kwenye matokeo hayo. Sasa, ni kipi kina gharama kubwa zaidi kukikabili — mchakato au matokeo?
 
Usilete mifano isiyo na uhusiano huwezi kulinganisha familia na nchi ambayo inaendeshwa kwa kanuni na sheria. Rais hawezi kufanya mambo kwa maamuzi ya kihisia au matakwa binafsi, anatakiwa kufuata sheria zilizopo kwa utaratibu. Kama ameshindwa kufanya hivyo, basi bora astaafu akae na wajukuu zake huko Kizimkazi. Nchi haiwezi kuongozwa kwa misingi ya hisia, mihemko au kejeli kuna taratibu na kanuni ambazo lazima azizingatie na kuziheshimu.
 
Kwani wewe unadhani kwenye mfumo wa ujamaa kama China, Russia, Cuba, au NKorea hakuna watu wanaotaka demokrasia kama ya Magharibi? Uliza wanafanywa nini na mfumo. Katiba yetu ni ujamaa na kujitegemea. Kwani wajamaa wanayo demokrasia? Lazima muwe na akili pana.
 
Nyerere na wenzake waliandika Katiba ya nchi yenye mfumo wa ujamaa na kujitegemea na sisi wananchi tukarithia. Waliopinga hilo kama akina oscar Kambona walihama nchi. Mfumo huu hauna demokrasia nyiiijkkngi kama ubelgiji na Canada. Ni siasa kama z China na NKorea ambazo sio za kidemokrasia lakini ni results oriented. Kaka mtaumia bure kwa kutosoma Katiba..

Mao na Xi Jimping wana madaraka makubwa kama Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete au Samia kwa mujibu wa Katiba za ujamaa. Na hili linahitaji kuwa na D mbili? Kile kinachotokea Kenya, Marekanani, Canada, ubelgiji au France hakiwezi kutokea China, urusi, Cuba, Tanzania au NKorea hata kwa bahati mbaya.
 
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.

Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?

Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Labda the “world” according to Kavulata
 
Kwani wewe unadhani kwenye mfumo wa ujamaa kama China, Russia, Cuba, au NKorea hakuna watu wanaotaka demokrasia kama ya Magharibi? Uliza wanafanywa nini na mfumo. Katiba yetu ni ujamaa na kujitegemea. Kwani wajamaa wanayo demokrasia? Lazima muwe na akili pana.
Katiba yetu inasema hivyo? Au Katiba ya CCM?
 
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.

Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?

Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Hebu tuambieni nani anateka na kuua watanzania?.
 
Kama wewe ni mwanamke mmeo ana kazi ngumu sana kukulea, ila kama ni mwanamme watoto wako wana hasara ya kudumu.
 
Back
Top Bottom