Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Trump bado anahangaika na waliotaka kumuua , hawezi kuhangaika na waliotaka kumuua Lissu. Ulaya wanahangaika na madai na kero za raia wao. Poor planning and timing
Is that all you have?Trump bado anahangaika na waliotaka kumuua , hawezi kuhangaika na waliotaka kumuua Lissu. Ulaya wanahangaika na madai na kero za raia wao. Poor planning and timing.
Yule dogo aliyechoma picha ya Rais alistahili kuuawa? Soka, kibao na mdude walistahili adhabu hii?Soma trend ya wote wanaotekwa ili uone wamefanya nini na ni watu Gani na wana jihusisha na nini ndio tunaweza kuja na hoja nzito humu.
Hata kule Marekanani Kuna watu hawapendi Muungano wao na wanadai una kasoro nyingi sana, lakini huwasikii kwenye vyombo vya habari vya nje wala kwenye kampeni zao za uchaguzi, ni mwiko mkubwa kutamka. Sisi kwetu watu wanajifanya Tanzania hakuna mwiko wala cha kuficha. Hapo ndio balaa linapoanzia.Hizo shida kubwa zilianza na udogo!
Wewe utafanya nini siku ukimkuta mke wako na mwao wanasonya huku wanachoma picha zako, utawaletea cake na chocolate? Be serious.Soma trend ya wote wanaotekwa ili uone wamefanya nini na ni watu Gani na wana jihusisha na nini ndio tunaweza kuja na hoja nzito humu.
Nitatafuta kujua sababuWewe utafanya nini siku ukimkuta mke wako na mwao wanasonya huku wanachoma picha zako, utawaletea cake na chocolate? Be serious.
Hiki kinachotokea katika nchi tajwa ni matokeo (outcome)...lakini kinachotokea katika nchi ya Tanzania ni mchakato(process) unaoelekea kwenye matokeo hayo. Sasa, ni kipi kina gharama kubwa zaidi kukikabili — mchakato au matokeo?Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.
Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?
Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Usilete mifano isiyo na uhusiano huwezi kulinganisha familia na nchi ambayo inaendeshwa kwa kanuni na sheria. Rais hawezi kufanya mambo kwa maamuzi ya kihisia au matakwa binafsi, anatakiwa kufuata sheria zilizopo kwa utaratibu. Kama ameshindwa kufanya hivyo, basi bora astaafu akae na wajukuu zake huko Kizimkazi. Nchi haiwezi kuongozwa kwa misingi ya hisia, mihemko au kejeli kuna taratibu na kanuni ambazo lazima azizingatie na kuziheshimu.Wewe utafanya nini siku ukimkuta mke wako na mwao wanasonya huku wanachoma picha zako, utawaletea cake na chocolate? Be serious.
Kwani wewe unadhani kwenye mfumo wa ujamaa kama China, Russia, Cuba, au NKorea hakuna watu wanaotaka demokrasia kama ya Magharibi? Uliza wanafanywa nini na mfumo. Katiba yetu ni ujamaa na kujitegemea. Kwani wajamaa wanayo demokrasia? Lazima muwe na akili pana.Hiki kinachotokea katika nchi tajwa ni matokeo (outcome)...lakini kinachotokea katika nchi ya Tanzania ni mchakato(process) unaoelekea kwenye matokeo hayo. Sasa, ni kipi kina gharama kubwa zaidi kukikabili — mchakato au matokeo?
Nyerere na wenzake waliandika Katiba ya nchi yenye mfumo wa ujamaa na kujitegemea na sisi wananchi tukarithia. Waliopinga hilo kama akina oscar Kambona walihama nchi. Mfumo huu hauna demokrasia nyiiijkkngi kama ubelgiji na Canada. Ni siasa kama z China na NKorea ambazo sio za kidemokrasia lakini ni results oriented. Kaka mtaumia bure kwa kutosoma Katiba..Usilete mifano isiyo na uhusiano huwezi kulinganisha familia na nchi ambayo inaendeshwa kwa kanuni na sheria. Rais hawezi kufanya mambo kwa maamuzi ya kihisia au matakwa binafsi, anatakiwa kufuata sheria zilizopo kwa utaratibu. Kama ameshindwa kufanya hivyo, basi bora astaafu akae na wajukuu zake huko Kizimkazi. Nchi haiwezi kuongozwa kwa misingi ya hisia, mihemko au kejeli kuna taratibu na kanuni ambazo lazima azizingatie na kuziheshimu.
Labda the “world” according to KavulataDunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.
Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?
Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Katiba yetu inasema hivyo? Au Katiba ya CCM?Kwani wewe unadhani kwenye mfumo wa ujamaa kama China, Russia, Cuba, au NKorea hakuna watu wanaotaka demokrasia kama ya Magharibi? Uliza wanafanywa nini na mfumo. Katiba yetu ni ujamaa na kujitegemea. Kwani wajamaa wanayo demokrasia? Lazima muwe na akili pana.
Nitampima DNA kwa siriUkiwauliza mama anakwambia kwanza mtoto huyu sio wako, huna maana kabisaaa na maneno mengi ya kejeli mbele ya rafiki Yako na mama yako
Hebu tuambieni nani anateka na kuua watanzania?.Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.
Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?
Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Hili ni neno zuri sana kwakeWewe ni mpumbavu