Lissu, do you think you are that much of a threat to Samia regime/Government to the extent of silencing you by bribing you, tena kupitia Abdul!

Mkuu kwa nini serikali ya Mama yetu isimpeleke Lissu Mahakamani akathibitishe madai yake kuhusu rushwa aliyoletewa na Mtoto wa Mama?
Kwa Upande mwingine,siyo kila mwanachama wa Chadema ni mwanachama HALISI wa Chadema! Wengine ni Mamluki au Mapandikizi kutoka nje na ndani ya Chadema!
Sasa Mkuu kwa maandishi yako unashauri Simba asiyetulia aendelee kuvaa Bullet proof?
I think if it happens dunia itasimama!
 
Unarukia train kwa mbele.....tulia TL atasema yoote mbona una pressure ?? Muda mwalim mzurii....
atasema uongo kama ule wa V8 amehongwa Mbowe while kazinunua kwenye mnada.... with concrete evidence...Lisu akaomba radhi kwenye kamati kuu
 
Nyie wapambe mtamdanganya huyo bimdogo wa Amsterdam Kama atawasikiliza .Kama anajua sio hisani ya Samia Kwa nini amtake Samia ku guarantee usalama wake? Hapo Samia anashindwa kumrudisha Kwa Amsterdam?
Lissu kudemand haki zake kwa amiri jeshi mkuu, kwako ni hisani?

ACHA UTOTO.
 
I think if it happens dunia itasimama!
dunia isimame kwa ajii ya Lisu? Dunia ya Trump, Putin, Uk, EU.......Scandinavian countries....Sidhani...zitatokea blame za hapa na pale na maisha yataendelea kama kawaida
 
Mbowe anakivuruga chama
How?
The problem ni kuwa domo la Lisu linabwabwaja sana na watu hawakai kufikiri kwa kina.....zaidi ya kumfuata.
Unadhani Samia amhonge lisu ili kuzuia nini ambacho TISS, JWTZ, polisi hawawezi kukizuia?

Nchi zetu ni za ki-imla Rais ni Mungu atakufanya lolote analotaka and that is the end of a story
 
Common sense sio common kama unavyoamini.
 
Lissu kudemand haki zake kwa amiri jeshi mkuu, kwako ni hisani?

ACHA UTOTO.
Si hisani na haipashwi kuwa hisani. Ni obligation ya Sami as head of all world of Tanzania kumlinda including you and me!
 
Ok Sawa, kwanini SASA mbowe hataki mabadiliko na anajiona yeye ndiye MTU sahihi kushinda wanachadema wote?
 
Ok Sawa, kwanini SASA mbowe hataki mabadiliko na anajiona yeye ndiye MTU sahihi kushinda wanachadema wote?
Wapi kasema yeye ni bora zadi ya wote? yale yale ya Lisu kusingizia watu
 
Mkuu, kwako wewe mbowe kung'ng'ania madaraka na kuleta mipasuko hii sio tatizo bt lissu kuusema ukweli kwako ndo tatizo?

Domo la lissu lingekua tatizo, ikiwa huko nyuma angekua na historia ya kutoa siri za chama.
 
Mbona kama unahaha ? Utulie tu ? Au ndio zile buku 10 kaziniiiii
Kama unamwona huyo Mama Abdul ni Mungu wako, ambaye ana mamlaka yasiyokuwa na mwanzo wala mwisho, mwambie ayatumie.

Kuna hoja nyingine mpaka zinatia kinyaa. Hivi walionunuliwa wakati wa awamu ya 5, Rais wa wakati huo hakuwa na mamlaka kama ya huyo mama Abdul?
 
Muisiharamu 👆yoyote kuwa na akili ni ndoto...samia bushiri anaishi kwa hofu kuu ...ndiyo maana vitendo vyake viovu vitaongezeka kwa sababu ya kujilinda...hofu yake imetokana na udhalimu na ufilauni anaofanya huku kakalia kiti kitakatifu...Samia bushiri kalaaniwa ni CHUKIZO LA UHALIFU LILILO KETI PATAKATIFU
 
Mkuu kwa nini serikali ya Mama yetu isimpeleke Lissu Mahakamani akathibitishe madai yake kuhusu rushwa aliyoletewa na Mtoto wa Mama?
Busara nadhani, nasema nadhani maaa sina uhakika, inawaogoza kumpotezea....kwenye utandawazi utawapeleka wangapi? Unangalia sensitive issues za kupeleka mahakaman mengine unayaacha....
 
Ni kweli ana hofu...lakini si ana means za kuwadhibiti asiowapensa/wapinzi wake...kwa hongo sidhani....ili asisema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…