Lissu, do you think you are that much of a threat to Samia regime/Government to the extent of silencing you by bribing you, tena kupitia Abdul!

Kama ni threat na aka be eliminated by any means mbona wengine radical kuliko yeye wataibuka na kuwa threat mara tatu. Daima upinzani huwa upo tu
 
Hili la mbowe kutumika na mfumo yaani CCM lina ukweli wowote?
ccm waliomfunga gerezani, samia aliyesema ni gaidi, leo atumike kweli kuiua chadema aliyoirithi toka kwa wazee wake?? sometimes JF members ina utoto mwingi and one might abandon writing on JF! kuna watu wengi wameiacha JF maana hakuna great thinker tena ni utoto utoto
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Chawa wa Sultan Mbowe mnahangaika sana .
 
Kama ni threat na aka be eliminated by any means mbona wengine radical kuliko yeye wataibuka na kuwa threat mara tatu. Daima upinzani huwa upo tu
uko sahihi, samia anajivunia watanzania kuwa maiti...hana wasiwasi wowote..tu waoga and one takes advantage of this
 
Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
Jamaa anahangaika kama kuku mtetea anataka kutaga, kwa siku nyuzi 8 analilia Lissu. Hizo hela za Abdul mtazitoa kupitia matundu yenu yote ya mwili.
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Lissu tshio gani?

Anao watu nyuma yake wa kumpigania kama wale wanasiasa wa Kenya au hata Maalim Sefu?

Hawa waoga waliojificha kwenye key board na nje ya nchi.

Fikiria hata padre muasi Slaa ambaye aliwekwa mfukoni na Mwakyembe naye anajifanya mzalendo.

Wajinga ndio waliwao.
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Hakika wewe ni Fal.a. sana. Sasa unataka kusemaje? Kwamba Abduli hakuenda nyumbani kwake wakati Wenje amekiri alimpeleka? Abduli alienda kufanya nini nyumbani kwa Lissu? Ni Mjomba ake? Kama siyo tishio alienda kufanya nini nyumbani kwake?
Narudia tena, wewe ni Flaaa haswaa.
 
ccm waliomfunga gerezani, samia aliyesema ni gaidi, leo atumike kweli kuiua chadema aliyoirithi toka kwa wazee wake?? sometimes JF members ina utoto mwingi and one might abandon writing on JF! kuna watu wengi wameiacha JF maana hakuna great thinker tena ni utoto utoto
Heko Greater Thinker ambaye unashindwa kutambua nyakati. Kutokutumika juzi haimaanishi huwezi kutumika leo. Hata hiyo akili ndogo huna?
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Kama wewe siyo Samia basi endelea na madhania yako.
 
ccm waliomfunga gerezani, samia aliyesema ni gaidi, leo atumike kweli kuiua chadema aliyoirithi toka kwa wazee wake?? sometimes JF members ina utoto mwingi and one might abandon writing on JF! kuna watu wengi wameiacha JF maana hakuna great thinker tena ni utoto utoto
Huenda yalikuwa maigizo kuwatia watu upofu
 
Lissu wanamjaza upepo tu, hamna kitu pale.Kufanya watu waandamane hakuhitaji kuwa mwenyekiti - Lissu nafasi na ushawishi alokua nao - angewezafanya kitu chochote..wasitarajie awe mwenyekiti ndo afanye yaliyomshinda kwenye ujana wake wote na kipindi yuko wa moto zaidi.Nothing will change...Lissu ni debator mzuri lkn sijui kuwa front kuleta maandamano ili kuwakomoa CCM na serikali yao..hawezi.
 
ngoja akina jingalao waje
Wananiogopa hakuna muislamu huni vamia hapa JF chunguza na sababu wanazijua ...wanajua kuwa nina akili nyingi hivyo wanaogopa kuumbuka katika dini yao watakapo nivaaa ....waislamu ni wajanja kuliko wakristo wakigundua una akili wanajificha haswa.
 
Sidhani kama wewe ni tishio kubwa kasi hicho, sidhani aslani! common sense negates that ! Ana njia nyingi za kuku silence, si kupitia Wenje na Abdul!

Kwa maoni yangu kama anakuona ni threat, a big threat, atatumia all arsenal at her disposal to silence you! siyo mtoto wake! siyo Wenje.........
Elaborate please 🙏
What do you mean ?! All arsenal ?! 😂😷🤦🏽‍♂️
 
Watawala wa KiAfrica huwa hawapendi uozo wa tawala zao uanikwe hadharani raia wakaujua, vyama tawala Africa havipendi pia kusemwasemwa na kunyoshewa vidole, vyenyewe vinapenda kusemwa kwa mazuri.

Sababu hizo husababisha watawala kuwa na machawa wakuwasifia na kuwaimbia mapambio, hutumia hela kunyamazisha wale wenye uthubutu wa kusema mabaya yao, hela na vyeo ndio huwa option number moja, ikishindikana ndio inakuja option number mbili ya kutumia maguvu.

Lissu inawezekana ni mmoja wa watanzania wachache ambao hupita huku na kule kuelezea mabaya ya watawala, elimu hii kwa raia huwa ni kitisho kwa watawala.
 
ccm waliomfunga gerezani, samia aliyesema ni gaidi, leo atumike kweli kuiua chadema aliyoirithi toka kwa wazee wake?? sometimes JF members ina utoto mwingi and one might abandon writing on JF! kuna watu wengi wameiacha JF maana hakuna great thinker tena ni utoto utoto
Vilevile ukumbuke kuna watu wamefanywa walemavu wa maisha na wengine wamepoteza maisha mfano mawazo sembuse kufungwa gerezani Tu?
 
Back
Top Bottom