Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Asante brother kwa comment hii.
 
Hivi wewe ndiyo unasikia leo hili?

Hili lilisemwa semwa siku chake tu baada ya kifo chake lakini ghafla taarifa zikazimwa. Nadhani, Pandora box inaanza kufunguliwa mdogo mdogo na mwisho wa siku hakuna kitu chochote kilichofanyika sirini hakitatokelezea katika Nuru..!!

After all unajiuliza maswali ya kitoto sana ndugu yangu denooJ..

Kwa sababu kama unashangaa na kujiuliza maswali rahisi kuhusu huyu bwana kukutwa na pesa tu nyumbani kwake, kwanini usishangae na kujiuliza maswali magumu zaidi kama vile; hivi iweje Rais wa nchi augue ktk muda usiozidi wiki tu na taarifa za kuugua kwake zikifichwa fichwa na baada muda tunataarifiwa kuwa kafia kwenye kituo cha afya kiitwacho "Mzena??"

Hujiulizi maswali haya??

Majibu yake ni rahisi mno. Na ni kuwa, it's obviously kifo chake si cha asili (not a natural death) bali ni cha kutengenezwa na tena na watu wake mwenyewe na ni wenzake aliowaamini humo humo ndani ya serikali..

Kama wali plan na kutekeleza mpango wa kifo chake, washindwe nini ku - expose na Kila Siri na uchafu wake..?

Hupaswi kushangaa hili. Hata Rais wa Sudan, Hayati Omar Al Bashir mara baada ya kifo chake, nyumbani kwake kulikutwa chumba kmoja kimesheheni maboksi na maboksi ya million of dollars...

Hiyo ndiyo tabia ya viongozi dictators wote duniani, kuiba na kuficha fedha kwa sababu wanaamini ndiyo ulinzi na usalama yao badala ya Mungu aliyewaumba..!!!
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Kuna chumba ambacho hakuna mwanafamilia aliyekua akiingia huko ilikuwa marufuku ñdipo alipokwenda mbele ya haki wanafamilia waliomba chumba hicho kichunguzwe kwani walielekezwa na mkuu wa kaya kuwa Kuna mabomu ñdipo kikosi Cha kutegua mabomu kikaenda na kukuta hayo marundo na Si hayo tu pia mrundo ya madini hasa gold diamond na tanzanite ndivyo Siri ilikofichuka hakuna mwafamilia aliekuwa anajua kinachoendelea. Na huo mzigo woote ulipelekwa B.O.T
 
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.

Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.

Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
Nia ya kusema uongo tunayo na uwezo wa kusema uongo tunayo mwisho WA kunuku
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Inawezekana TISS wameamua kumlisha matango pori ili ajimalize mwenyewe kwa kuonekana kuwa ni mzushi. Kuna clip nyingine inamuonesha Lissu akimuambia Heche kuwa kuna mmarekani anamiliki hekta 6,000,000. Hili ni eneo karibu sawa na eneo la mikoa ya Tanga na Manyara ikijumlishwa pamoja.
 
Hivi vile vipande 30 vya Yuda Iskarioti vilivyo pelekea kwenda kununulia Eneo la Makaburu Vilipatikana baada ya Yuda kufa au kabla ya kujinyonga????

Kitabu kitakatifu hakisemi uongo
Mwisho wa Tanzania ukaribu
Tusali Sana Tumuombe Mungu kuwe na mwisho mwema

Maranata
 
Kama taarifa za ugonjwa na kifo tulianza kusikia kwa hawa watu huku serikali ikisema raisi ni mzima tukanyimwa hata muda wa kumuombea ni kwa nini hili tusilitilie shaka kuwa kuna ukweli?
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.

Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Lissu hatafuti cheap popularity, anatafuta namna ya kuitibu nchi kutoka katika ufisadi na mafisadi wa CCM.

Kama kumsema Mkapa na ufisasi wake ni sahihi, basi kumsema Magufuli na ufisadi wake ni sahihi pia.
 
Lissu ni muongo, shida zaidi ni wafuasi wa huyu ropo-ropo ambae hajui anafanya nini kwenye siasa zaidi ya kutupigia kelele zisizo na kichwa wala miguu; halafu kuna watu wanachukua kauli zake at face value.

Baada ya kutunga uongo wake wa DPW sasa kahamia kwa Magufuli; yote hayo yanaisaidia vipi CDM kwenye political mileage za uchaguzi wa 2025.

Wananchi wengi hawana interest na habari za bandari, kwenye mikutano yao CDM ni nadra sana kuzungumzia changamoto za maeneo enyeji wanayozunguka wao ni ropo ropo tu.

$42 million dollars in 100 bills stacks urefu wake ni feet 143, ni sawa na ‘Antony Davies’ kama 21 uwalaze kwenye chumba, hizo hela hata kwenye transit van zinaweza zisitoshe. Huyo Magufuli ni mjinga kiasi gani asijue offshore accounts aweke hizo hela nyumbani kwake.

Ujinga mtupu
Pole sana.
Sonona uliyokumbana nayo haina tofauti na mtu anayemwamini mpenzi wake akapenyezewa taarifa kuwa ni cheater
 
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.

Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.

Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
Mimi si mtabiri na wala sikujua lolote.. Lakini juzi nikaandika huu uzi..[emoji3064][emoji848][emoji2827]

Kuna baadhi ya nyumba zina micro finance ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Wakati mwingine akili nyingi huondoa maarifa...ama tukubali madai haya bila kujiuliza maswali au tujiulize maswali juu ya madai haya.... ningependa Mbunge mmoja wa Chadema aulize swali Bungeni kuhusu fedha hizi zinazodaiwa zilichukuliwa na nani.... inawezana kuna kamgao hapa...
 
watu wanafunguliwa mashitaka kwa kesi za kijinga tu, haya madai ni makubwa sana kuachwa hivihivi, Lissu afunguliwe mashtaka tujue ukweli uko wapi.
Umesahau Rais Alishawahi kusema kuhusu account za fedha zilizofichwa Uchina?

Wamfungulie kesi ili ukweli ujulikane. Ila kwa kuwa haitakuwa kwai ya Jpm tu najua hawana uthubutu huo.
Kesi inaweza kuondoka na wengi.
 
Back
Top Bottom