Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Wanaadamu tuna tabia za ajabu sana. Ulafi usio na mantiki. Mtu akishakuwa Raisi pesa binafsi ni za kazi gani? Kuhudumiwa ni maisha yake yote pamoja na mwenza wake.
 
Quotation
Money never made anyone happy. There is nothing in its nature to produce happiness. The more a man gets the more a man wants. Instead of filling a vacuum it creates a void.
 
Hapa sio mahakamani
Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?

Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".

Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
 
Mbona hii mada inahusu waziri wa michezo Ghana aliyejiuzulu? Story ipo hivi
AFRIKA KUENDELEA MPAKA SIJUI TUFANYEJE? AU TUHALALISHE FUNGU LA KUIBWA (PERMISSIBLE STEALING BASKET FUND)?

Hebu sikia: mwanamama aliyekuwa waziri nchini Ghana ambaye kajiuzulu hivi karibuni aliktwa na mabulungutu kama dola milioni 43 hivi. Kayafutika chumbani.

Mkasa ulianza hivi: alikuwa na house girl wawili. Sasa katika kufanya usafi si wayakute mabulungutu? Baba na mama hawapo. Wakaamua wajichotee kiasi cha mboga. House girl mmoja yeye akanunua jumba la kifahari fasta. Halafu akamnunulia boyfriend wake gari 2 za kifahari. Hela bado ikabaki mdada akajenga majumba mawili ya kupangisha jijini Accra. Yule wa pili naye akanunua kiwanja akajenga boonge la jumba. Chenji akaweka benki.

Mama na baba wakafuatilia weee wadada wakawa wanasepa na kumpa maneno ya kihuni. Baada ya miezi 7 waziri na mumewe wakaenda kuripoti polisi kuwa wameibiwa. Lakini wakataja pungufu.

Polisi nao bwana! Wakajiuliza huyu mama mbona ipite miezi 7 ndio aje? Au?

Wakaamua kufanya upekuzi nyumbani kwa Waziri. Wakakuta maburungutu. Wakayakamata.

Sasa polisi wao wanadai wslikuta fola milioni 2 tu! Waandishi wanadai waliona mzigo siku ya tukio. Ni milioni 43 dolari!

Ee bwanaeee! Kina afande wamekula cha juu!

Waziri ikamlazimu ajiuzulu.

Cha kushangaza raisi katoka hadharani na kudai waziri ni mtu safi lazima hatakutwa na hatia! Anasikitika sana kumpoteza waziri mchapakazi!

Sasa watu wanahoji "kulikoni"?? Basi viherehere wanadai Waziri ni nyumba ndogo ya dingi!

Afrika aisee!
FB_IMG_16912964273362490.jpg
 
Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?

Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".

Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

P
una miaka kama 60 lakini una akili ya form three shule ya kata.
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize; hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa juu ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.

N.B:
Lissu asisahau kuwauliza hao informers waliomwambia kuhusu uwepo wa kiasi hicho cha pesa nyumbani kwa Magufuli, je, wao baada ya kuzikuta hizo pesa walizipeleka wapi? isijekuwa nao wakagawana, halafu wanamnyooshea kidole Magufuli peke yake na kumuita mwizi wakitaka kuonekana wazalendo.
Duniani kuna watu waliojaliwa uwezo wa kujenga hoja hasa kwenye mijadala, mojawapo ni wewe mkuu,!

Umechambua kwa weledi na kitaalamu zaidi. Nimesoma hii comment nikafarijika sana.

Kongole mkuu, Mungu azidi kukuongezea hekima, busara na kipawa chako kizidi kukua!
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize; hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa juu ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.

N.B:
Lissu asisahau kuwauliza hao informers waliomwambia kuhusu uwepo wa kiasi hicho cha pesa nyumbani kwa Magufuli, je, wao baada ya kuzikuta hizo pesa walizipeleka wapi? isijekuwa nao wakagawana, halafu wanamnyooshea kidole Magufuli peke yake na kumuita mwizi wakitaka kuonekana wazalendo.
Maswali haya ndio umuullize lissu wewe si chawa wake Mara zote umekuwa ukimtetea hapa
 
Lissu ameanza kupotea njia...atuletee jinsi ya kupambana na hawa walio hai wanaolihujumu taifa.
Marehemu hajitetei.
Kakosa hoja baada ya kukataliwa kwenda kwa Magufuli kaanza mponda
 
Back
Top Bottom