Lissu ana akili nyingi, hana hekima.Si mlesema hapa tz watu wenye akili ni wawili tu lissu na mwambuΓΉ?
Akili bila hekima ni zirooΓ²oLissu ana akili nyingi, hana hekima.
UTAMSAHAU ALIYEKUCHEKESHA, LAKINI SIO ALIYEKULIZA!Kwanamna yoyote ile kifo cha magufuli ni ushindi wa taifa na uponywaji KWA waliowengi.
uchochezi kwa nani, kwa hiyo ukweli usisemwe? Pesa zingine ziko mpaka China. Hizo zilikuwa na plea bagaining tuUchochezi
we unafikiri ni nani mwingine anayeweza kuingia nyumbani kwake, vyombo vya serikali, na bado tutasikia mengi kuhusu huyo mtetezi wenu wa wanaoitwa wanyonge. Mtu mwenye afya njema utakubalije kuitwa mnyonge na we unakubali km zuzu, sema wapambanajiZilikutwa na nani?
mbona hukujiuliza hayo maswali wakati anasemwa vibaya Mkapa? Nyie ni makenge yasiyo na akili, we Magufuli ulimwonaje, malaika? lile lilikuwa jizi lililojificha ndani ya joho la kutetea wanyonge. Yule alikuwa rais wakati anafanya kazi alikuwa na vyombo vya dola, na hivyo vyombo vinajua siri zake zote, kwa uzalendo wao ndio waliotoa taarifa hizo kwa serikali mpya na upekuzi ukafanyika, sawa we zuzu la marehemu?Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize; hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa juu ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
N.B:
Lissu asisahau kuwauliza hao informers waliomwambia kuhusu uwepo wa kiasi hicho cha pesa nyumbani kwa Magufuli, je, wao baada ya kuzikuta hizo pesa walizipeleka wapi? isijekuwa nao wakagawana, halafu wanamnyooshea kidole Magufuli peke yake na kumuita mwizi wakitaka kuonekana wazalendo.
Mpaka siye marehemu? wakati anasemwa mnaona raha siyo? wote wacha wasemwe au kwa vile nyie sukuma gang mna midomo sana ya kutetea lile jizi lenu?Lissu ameanza kupotea njia...atuletee jinsi ya kupambana na hawa walio hai wanaolihujumu taifa.
Marehemu hajitetei.
matusi yako wapi we kima. tuliza hilo tako lako mmezoea uzushi.
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
Wewe guluguja jifunze kusoma kwa ufahamu kwanza ujue tofauti ya kwangu na wangu.Nimesema ni kijana, si kijana wangu. Kijana una husda mno... acha watu tutumbue mahela bhana, mambo ya mahakamani ya nini tena?
We unachekesha sana π€£π€£π€£π€£Usimchukulie poa Mondi Ujue anamlipa Kitenge mshahara milioni 25 kwa mwezi, Zembwela anavuta 12 mil per month πππ₯
kwa Mpaka na JK uliuliza uthibitisho?Hili sitashangaa kwasababu wengi wetu utasikia nilisikia, inasemekana mara niliambiwa. Kuna uthibitisho wa hilo?
subirini uchaguzi mkuu wa 2025 upite, upupu wote wa Magu utaanza kutoka hadharani
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
hujui unachoongea, yule alikuwa mwiizi wa mali za ummaJpm kakaaa kwenye uwaziri toka enzi za Mkapa, Magufuli hakuwa mwanasiasa mchanga na pia alikuwa na mali zake binafsi.
Hizo pesa hazitoshi kumuita fisadi labda angekutwa na trillion 2 hivi.
hana cha kusifiwa alikuwa mwovu na ukweli lazima usemweYes sababu mwananchi ni innocent receiver wa information. Chadema hawakuwa na hii ishu ya kumchafua magu huko kwao zaidi ya kwenda kuelezea ishu ya bandari na kumsifia kwamba asingekubali huu mkataba lakini ghafla wameingiza na ishu ya magu kukutwa na hela zote hizo. Does it click in your head? Mtu waliyeenda kumsifia then ghafla wanamchafua kwa faida ya nani?
Hii ndio iliyowapeleka huko mpaka kwenda kuhiji kaburi lake? Hapo ni kwamba kuna team sukuma gang ambayo baada ya samia kuingia walikosa power ila wameanza kugain tena baada ya ishu ya mkataba wa DPW sasa chadema walivyosema wanaenda kwa team samia waliona ni sahihi wacha wakaivunje team sukuma gang kwa kumchafua mtu waliyeamini siasa zake.
Huu ni mtaji wa team Samia.
Walinzi wa wakubwa wana siri nyingi sana. Nakumbuka Marekani waliomba wasiitwe kutoa ushahidi kwenye kesi ya Bill Clinton kuhusu Monica Lewinsky. Walisema maraisi hawatakuwa na amani.mbona hukujiuliza hayo maswali wakati anasemwa vibaya Mkapa? Nyie ni makenge yasiyo na akili, we Magufuli ulimwonaje, malaika? lile lilikuwa jizi lililojificha ndani ya joho la kutetea wanyonge. Yule alikuwa rais wakati anafanya kazi alikuwa na vyombo vya dola, na hivyo vyombo vinajua siri zake zote, kwa uzalendo wao ndio waliotoa taarifa hizo kwa serikali mpya na upekuzi ukafanyika, sawa we zuzu la marehemu?
Ungetusaidia na sisi tusiojua ili tujue ingependeza sana !!Hujui wewe. Na hujui zilikuwa wapi. Baki na kutojua kwako.