Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu mshenzi, lkn magufuli alikuw raisi sahihi kwa hapa TZ, kuhusu wizi mimi naamini ni uongo umetungwa na maadui zake ndani ya CCM.
sababu dunia nzima iliamini magufuli ni mzalendo na kweli alikuw hivo, baada ya kifo hio tuhuma ya hela nyumbani kwake ndio pekee wangeisema na kumchafua hayati, lkn kwa yale tulishuhudia magufuli alikuw super president, binafsi mzee wangu alitumbuliwa lkn hadi leo famlia nzima bdo tunamkubali km rais mzalendo na kumtumbua mzee wangu hadi leo anakiri alifanya makosa hvo adhabu ya kutumbuliwa alifanyiwa haki na mhe. Magufuli.
NB. Ukinipa CCM na andazi, ntachagua.....
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.

Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Labda moja ya masharti ya maridhiano ni kumsema vibaya JPM ili walipwe Ruzuku na malimbikizo yote ya kipindi cha nyuma
 
Ukitaka kujiponya dhidi ya jambo unakolichukia au kuliogopa, basi lizungumzie jambo hilo kila mara.

Wasichojua watu ni kwamba kadiri Lissu anavyoongea kuhusu Magufuli ndivyo anavyozidi kuponywa nafsini mwake! Kwahiyo Lissu aachwe aendelee na mchakato wa kuiponya nafsi yake kwa kuyamwaga yote yaliyopo moyoni mwake kuhusu Magufuli.

Pia wakati Lissu akiponywa wapo watanzania wengi tu walioumizwa na Magufuli wanaendelea kuponywa.

Magufuli amefariki lakini Tundu Lissu anaishi na anahitaji kuuponya moyo wake, hivyo kusema yanini kuhangaika na marehemu sio sawa!
 
Hafai kabisa yule binadamu, niko na maswali mengi sana kumhusu!

Yule ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote nchini, adabu hana,

Anachotaka hakijui na hajitambui, kwa mwendo wake ule wa kwanza, alivutia hisia za wengi, sasa ametuvuruga vibaya sana

Haelewi Magufuli ni taasisi nyingine yule! Hajui kuwa Magufuli hata ungelimsema vipi, ni unajichafua mwenyewe
 
Na kujidai na akili sana ameshindwa hata kujiongeza kuchambua lipi lakusema na lipi lakusubili.

Na Kwa jinsi mwenendo ulivyo inaonyesha dhahiri kabisa Kuna kundi ndani ya CCM naye analitumikia kuhamisha agenda ya msingi ya bandari
 
DPWORLD mkataba ni billion 17 ,KITILA MKUMBO anasema tutapata billion 26 huyu kitila anapata wapi hizi fedha na taarifa?
 
Ni kanuni tu ya saikolojia ya wanadamu kwamba aliyekufanyia ubaya hubaki katika fikra kwa muda mrefu. Itachukua muda mrefu kama sio maisha yote kwa mtu kama Tundu Lissu kumsamehe Magufuli.

Lissu aliumizwa sana katika jaribio la kuutoa uhai wake. Ndugu zangu hili sio jambo dogo hata kidogo! Kwa mwanadamu yeyote jaribio dhidi ya uhai ndio kitu cha kutisha zaidi.

Wasichojua watu ni kwamba kadiri Lissu anavyoongea kuhusu Magufuli ndio anavyozidi kuponywa nafsini mwake! Kwahiyo Lissu aachwe aendelee na mchakato wa kuiponya nafsi yake kwa kuyamwaga yote yaliyopo moyoni mwake kuhusu Magufuli.

Pia wakati Lissu akiponywa wapo watanzania wengi tu walioumizwa na Magufuli wanaendelea kuponywa.

Magufuli amefariki lakini Tundu Lissu anaishi na anahitaji kuuponya moyo wake, hivyo kusema yanini kuhangaika na marehemu sio sawa!
Ila humu watu wanachukulia simple ile situation iliyompata LISSU laiti angefanyiwa mlinda legacy johnthebaptist angalau apate kionjo natumai angekua na hasira kuliko LISSU!!
 
Magufuli alikuwa ni shetani mwenye umbo la kibinadamu.Sisi Watanzania wazalendo tupo pamoja na Lissu tupo pamoja na Chadema.Magufuli aliua watu wengi,alijeruhi watu wengi,alibadilika na kuwa katiba!
 
Tundu Lisu akubali tu kuwa Magufuli ni mziki mnene
Pesa zetu za mskubaliano ya kufuta kesi ziko wapi? Na zile zilizokutwa China ukiacha alizokuwa anagawa barabarani kama njugu! Rais kugawa pesa bure ni uhujumu wa uchumi, tuwe wakweli kwa hili.
 
Kwenye hili Lissu amelishwa matango pori. Na amekuwa mjinga kuropoka kama lilivyo bila kupima ukweli wake.
 
Kwanamna yoyote ile kifo cha magufuli ni ushindi wa taifa na uponywaji KWA waliowengi.
 
Back
Top Bottom