Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hilo halina ubishi na sio pekee yake, tembelea hapa Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! uone ni uwezo wa nini!."...Lissu ni mropokaji...".
Kuna ubaya gani kama zilikuwa fedha zake halali, lakini kwa nn Lisu anamsema mtu ambaye ni mfu? Huko ni kuishiwa na Sera.
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
Kwa kauli hii inatosha kusema Tundu Lissu alishiriki kumwua JPM. Ni nani aliruhusu mtu kwenda kupekua nyumbani kwa raisi kana kwamba alikuwa mtuhumiwa wa kosa la jinai? Je aliyeingia madarakani ndio alituma polisi au usalama wa taifa kupekua nyumbani kwa JPM bila idhini ya familia?Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Hakuna mtu anayepumzika wala lolote ni kuoza tu hakuna cha mbinguni wala nnNiliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Anyway naona unapata taabu sanaNiliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Wewe P ni mwandishi wa habari lakini nasikitika wewe kushindwa kugundua kwamba mtoa taarifa emenukuu maneno ya Lissu kwa kuweka video, sasa unamtuhumu mtoa mada au aliyenukuliwa akiyaongea hayo?Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akitakiwa kuthibitisha, huyooo... anajitimkia zake kurejea kule kwake na kusingizia ametafutwa ili... Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?
Kanuni ya tuhuma ni "he who alleges, must proves!".
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Huwezi kumnukuu mwana siasa bila ya kuzingatia uthibitisho wa taarifa husika kupitia mlolongo wa kitaaluma uitwaoWewe P ni mwandishi wa habari lakini nasikitika wewe kushindwa kugundua kwamba mtoa taarifa emenukuu maneno ya Lissu kwa kuweka video, sasa unamtuhumu mtoa mada au aliyenukuliwa akiyaongea hayo?
Magufuli alikuwa mwizi mkubwa wa pesa za umma na kama asingekufa mapema angeifilisi hazina kwa kushirikiana na mpwa wake, Dotto James. Alaaniwe na kuadhibiwa adhabu ya kaburi huko anakooza.
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
Alikuwa akiiba benki gani ambayo haina watu yeye tu ndiye mwenye nafasi ya kwenda kuchota bila kuonekana na mtu mwingine?Magufuli alikuwa mwizi mkubwa wa pesa za umma na kama asingekufa mapema angeifilisi hazina kwa kushirikiana na mpwa wake, Dotto James. Alaaniwe na kuadhibiwa adhabu ya kaburi huko anakooza.
Chawa mkubwa. Mtu kuiba pesa lazima uonekane ukinyemelea na kuchota kwenye viroba? Mwehu wewe! I cant urgue with fools of your sort. Go to hell bastard fool!Alikuwa akiiba benki gani ambayo haina watu yeye tu ndiye mwenye nafasi ya kwenda kuchota bila kuonekana na mtu mwingine?
Nimemdharau huyu mnyaturu analeta visasi badala ya kutafuta uungwaji mkono kisiasa kwa mstakbari mwema wa nchi
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100), zilikutwa nyumbani kwake Chato.
Kiasi hicho cha fedha ni nyingi hasa ukilinganisha na mshahara wa Rais. Lissu aliyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wakati akiwasilisha mada ya uuzwaji na uwekezaji wa bandari.
Lengo la kuweka habari hii hapa ni mshtuko nilioupata.
Kuna siku moja niliandika kuwa mtu yeyote wa Upinzani anaweza kuwa Rais mzuri isipokuwa Lissu. Ni mtu mtu mropokaji sana anayetoa tuhuma bila ushahidi. Zilikutwa dola kiasi hicho na hajasema zilikuwa na nani na zilipelekwa wapi, naa yeye alijuaje kama kweli zilikutwa ilhali hakuwapo. Hata kama aliambiwa, basi ni kiongozi anayetaka kusikia anayotaka tu, yaani ukimwambia analotaka kusikia hata kama ni ya uwongo basi yeye atayachukuwa kuwa ni ya kweli bila hata kuyahoji. Ukimwambia ukweli ambao hataku kusikia atasema huo ni uwongo.
No sijinasibu, ila both parents walikuwa huko, hivyo unajikuta umezaliwa with an average intel lakini sio mtu wa kule!.
By nature ya professional yangu, kuna mengi tunasikia, but sio kila unachosikia ni kweli!, vitu vingine ni too much exaggerated, hivyo you have to use your natural intel to make sense of it!. $ 42 m, is not a joke!, it just doesn't make sense!.
Duh...!
Kiukweli kabisa JPM alikuwa mkweli daima and sometimes mkweli too much!.
Ile issue nilioitiwa Bungeni, ni yeye aliisema!.
Hata zile pyu pyu alizisema!.
Hii issue ya mimi kuwa na sniffing nose kuhusu baadhi ya watu or issues ni kweli niko vizuri, na sio najisifu!.
Kuhusu kupoteza ... angalia tarehe ya bandiko hili
HERESY = UZUSHIUshahidi?
Hearsay kama wasemavyo mawakili wasomi
Alibaba alihamishia ofisi yake kwa nyumba, unajua 'what was actually cooking?' 😅Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize; hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa juu ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
N.B:
Lissu asisahau kuwauliza hao informers waliomwambia kuhusu uwepo wa kiasi hicho cha pesa nyumbani kwa Magufuli, je, wao baada ya kuzikuta hizo pesa walizipeleka wapi? isijekuwa nao wakagawana, halafu wanamnyooshea kidole Magufuli peke yake na kumuita mwizi wakitaka kuonekana wazalendo.
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?