Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Kwa kauli hii inatosha kusema Tundu Lissu alishiriki kumwua JPM. Ni nani aliruhusu mtu kwenda kupekua nyumbani kwa raisi kana kwamba alikuwa mtuhumiwa wa kosa la jinai? Je aliyeingia madarakani ndio alituma polisi au usalama wa taifa kupekua nyumbani kwa JPM bila idhini ya familia?
Tuhuma hii itaaminikaje kama walioenda kupekua hawakwenda na hizo pesa wakiwa na nia ovu ya kumchafua JPM kwa maslahi ya kisiasa?
Hii taarifa ilisikika tangu mwaka 2021 baada ya kifo cha JPM na watu pekee waliofungua chumba cha siri ni wa usalama kwa hiyo ndio wamemlisha Tundu Lissu tango pori!!!
Wakati hizo pesa zinawekwa kwenye chumba hicho usalama wa taifa walikuwa wapi wakati raisi naisha yake binafsi wanayadhibiti asilimia 90%?
Kuna kesi yoyote imefunguliwa kuhusiana na pesa hizo?
Hizo pesa zipko wapi kwa sasa baada ya kuzikuta?
Ni nkina nani waliingia kwenye chumba hicho na kwa madhumuni gani?
Kwa tuhuma hizi kwanini wananchi wasiamini kwamba kuna watu wamo ndani na nje ya mfumo wa serikali walishiriki kuondoa uhai wa JPM kupitia ugonjwa pandikizi?
WITO: Uchunguzi ufanyike haraka vinginevyo sasa yafuatayo yatawekwa bayana
1. Aliyempiga Tundu Lissu risasi
2. Nani alikuwa nyuma ya kusudio la kujenga bandari Bagamoyo baada ya kuhongwa kiasi gani na wapi
3. Nani mshirika kwenye mktaba wa uwekezaji na kampuni ya DPW
4. Nani anashinikiza wananchi kuporwa ardhi yao eneo la Sanzaga Bagamoyo
5. Nani mmiliki wa hoteli ya Kiroho ambayo ilifilika baada ya kugundulika ilikuwa inaendeshwa bila kulipa kodi kwa zaidi ya miaka mitano
6. Nani mmiliki wa Kiromo zoo ya wanayama pori huko Bagamoyo
7. Nani wamiliki wa mashamba makubwa ya mpunga (kilimo) na mifugo huko Rudewa, Kilosa-Morogoro
8. Nani mmiliki wa eneo kubwa la ardhi lililopo kati ya Mbopo, Bunju na Nyakasangwa karibu wanapochimba madini mawe magharibi mwa eneo la kiwanda cha simenti Wazo
8. Nani ana ushirika ummiliki wa eneo alilopewa Dangote kuwekeza ujenzi kiwanda cha simenti na matumizi mengine ya rdhi huko Mikindani Mtwara
9. Siri iliyofichwa na serikali huko Ifakara, Malinyi na Ulanga
10. Kinachoendelea nishati, madini, ardhi na utalii
Viongozi wasitishe wananchi kupitia wapinzani uchwara wanaotafuta kuinuka kwa kutumia gharama za mgongo wa mtu mwingine