Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

... ipige tujue matundu ya paa letu! 😅
 
Hujiulizi kuwa mwamba alikuwa na kasiki ndani ya misafara yake....na kugawa milioni 10 hadi 30 asubuhi hadi jioni
 
Akwendeeee zake nani aliziona? Yeye ameanza lini kuishi nyumbani kwa jpm? Sisi tunaolinda baburi tuko ndani hakukuxiona iweje mtu yuko ubeligiji azione?

Nani kamtuma lissu? Nyiee siasa
 
Magufuli hakuwa msafi kihivyo kama tulivyo mimi, wewe na yule lakini uongo dhidi yake umepitiliza na inabebwa na chuki binafsi kwake kwa kusimamia mambo ya msingi.

Magufuli hayupo kujitetea, Chama chake kimemtelekeza wakati alikitumikia na kukipa heshima. Sisi tulioamini kwenye kazi zake tutamtetea, nyakati hazitatusahaulisha jasho lake.
 
Tatizo lako unajifanya much know sana kiasi kwamba mungu wenu wa chattle hakuwa mwizi
 
Sasa billion 9 za kitanzania ndiyo ushangae kwa mtu mkubwa na nyadhifa kubwa kwa miaka yote hiyo aliyohudumu katika uwaziri na urais?

Aliyezikuta keshi billion 9+ na kuzihesabu ni nani?

Watu akili zinashikwa kwa uongo wa hovyo kabisa[emoji1]
Hivi nyie wajinga kwa nini mnatujaz8a server kwa maswali ya kipuuzi? Aliyetamka hayo maneno ni lissu, cha ajabu mnakuja kutuuliza ushahidi sisi huku jf!!!! Kwa nini msimhoji huyo aliyesema awape ushahidi? Au mnaogopa kuanikwa zaidi na maufisadi yenyu?
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua Chadema

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi.

Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Mengine yote sawa ila hili la JPM kuwa mfalme wa kanda ya ziwa ni UWONGO
 
Tangu lini chiba kawa na akili?Hata biblia ilikataza mlemavu asiwemtumishi wa Mungu lisu baada ya kuwa kilema hata akili imekuwa hivyo,kwanza kwa sheria hipi ya Serikali kupekua ndani ya nyumbani kwa Magufuli wakati vyombo vyote vilikuwa chini yake?inamaana Janeti njinga kiasi cha kuacha fedha zote hizo zinazagaa sebreni!Lissu kaanza kutumika na mafisadi ila Slaa aliisha mwongelea kwenye kitabu chake,kuwa Lissu nimtu asiye na msimamo anayumbayumba kama bendera fuata upepo.Yale yale ya vitisho eti tusitetee laslimali zetu tutashitakiwa MIGA tunyolewe na vipande vya chupa bila maji.Ni upuuzi mtupu kukaa na kumsikiliza lisu.Yeye kama angelikuwa mkweli angetuambia Lowassa aliwapa ela ngapi yeye na Mbowe mpaka wakamwachia nafasi ya kugombea urais.
 
Kwa mtu kama Raisi uto ni tupesa tudogo sana,
Amekua waziri Miaka kibao, mtu yupo tangu Enzi za Mkapa akose ivyo vihela, na mwisho wa Siku akawa Raisi
 
Weka sera, ilani bwana Lissu. Kumchafua JPM wapoteza muda, mwelekeo na watu waelewe CHADEMA ina mlengo gani..
 
Rsisi akifa huwa nyumbs yake inadachiwa. Nani anafanya search ns kwa amri ya nani?
 
Ww jamaa ni mwanafalsafa mkubwa.... Huu uchambuzi uko ahead of time
 
Sawa kabisa Advocate Paskali. Acheni kutuzuga na siasa zenu za matope. Muulizeni mwanasheria Lissu atoe evidence beyond reasonable doubt
 
ACHA kubisha tuungane kubinafsisha
 
Hili linahitaji maelezo kutoka serikalini. Ni kweli au uwongo? (mimi namwamini Lissu). Je, hizo pesa alizipata wapi? Hivi ile pesa ya plea bargain nayo ilienda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…