Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kumbe ni ccm kwa ccm wenyewe? Mbona wananchi wanaunga mkono?CCM team Samia wajanja sana wanavunja ngome ya CHATO kwa kuitumia CHADEMA then baadae wakishawaaminisha kwamba bwana yule alikuwa fisadi basi itakuwa rahisi sana wao kumalizia tu.
Bora wewe unakubali kwamba zilikutwa kwake ila zilikuwa za halali , Mayalla na mamluki wenzake wanaona Lissu anazusha , yaani Magufuli asingeweza kuweka mihela ile nyumbani !Jpm kakaaa kwenye uwaziri toka enzi za Mkapa, Magufuli hakuwa mwanasiasa mchanga na pia alikuwa na mali zake binafsi.
Hizo pesa hazitoshi kumuita fisadi labda angekutwa na trillion 2 hivi.
You are correct, very correct, but that does not bail him(Magufuli) out from theft! Magufuli, a person entrusted to handle faithfully , a trustee of public treasureHakuna Mtanzania Hata mmoja anayeishi kwa mshahara
Kama unabisha muulize mchungaji wako hapo KKKT kama anaishi kwa mshahara 😀😀🔥
Tatizo hamjui hao chadema wanatumika kuvuruga image ya magu wenu ili baadae CCM team samia wanakuja kuwaaminisha vingine wananchi wakishakuwa confused kura itakuwa ishapigwaNa wewe siuko kumtetea Rais Samia na sisi tupo kwa ajili ya Magufuli sasa mbona unaumia!!?
Wewe unaamini ujinga wa Lisu? Kazi yake kujiropokea tu kutafuta attention! Wewe ulishajiuliza ina maana serkali ilienda kufanya upekuzi kwenye makazi yake?Ni kweli sio nyingi sana. Ila kukaa na pesa nyingi hivyo nyumbani kuna tia walakini
Wee jamaa nakukubali sana upo balanced, logical and grounded in common sense. Zaidi ya hapo hizi tuhuma za Lissu ni very serious kama ni za kweli.Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Aah kumbe ndio vita imeishia huku?LEo lissu kawahamulia sukuma gang
Kifua unacho ?Lete[emoji23]
Jibu ndio au hapana , Lissu tumemtanguliza mbele tu , kila kitu tunacho sisiHuyo aliyetamka hakuweka evidence,wewe chawa utaupata wapi? Punguza ujinga.
Nani aliingia kufanya upekuzi na kuzihesabu hizo pesa ambazo ni sawa na milioni 9000+?Ni kweli sio nyingi sana. Ila kukaa na pesa nyingi hivyo nyumbani kuna tia walakini
Hizo hesabu za wapi. Hio hela ukiigeuza unapata around 96 billions za kibongo. Kwa nafasi na wizara alizokuwa ametumikia ni wazi kuwa lazma angestaafu na mipunga ya kutosha. Huwezi kuwa wizara ya ujenzi halafu ukose kumiliki hizo.42,000,000 x 2300=9,660,000,000
Sijaumia mimi Rais samia simtetei penye ukweli nasema.Na wewe siuko kumtetea Rais Samia na sisi tupo kwa ajili ya Magufuli sasa mbona unaumia!!?
Yes sababu mwananchi ni innocent receiver wa information. Chadema hawakuwa na hii ishu ya kumchafua magu huko kwao zaidi ya kwenda kuelezea ishu ya bandari na kumsifia kwamba asingekubali huu mkataba lakini ghafla wameingiza na ishu ya magu kukutwa na hela zote hizo. Does it click in your head? Mtu waliyeenda kumsifia then ghafla wanamchafua kwa faida ya nani?Kumbe ni ccm kwa ccm wenyewe? Mbona wananchi wanaunga mkono?
Ni 96.6bSasa billion 9 za kitanzania ndiyo ushangae kwa mtu mkubwa na nyadhifa kubwa kwa miaka yote hiyo aliyohudumu katika uwaziri na urais?
Aliyezikuta keshi billion 9+ na kuzihesabu ni nani?
Watu akili zinashikwa kwa uongo wa hovyo kabisa[emoji1]
Lisu ni mbwaKiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?
Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?
Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?
Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].
Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Ningekuwa nina mavi nisingeweza kujua kuwa Magufuli alikuwa anashabikiwa na wapumbavu. Unaona jinsi mlivyompoteza kama akaona korona ni kama jambo la uzushi.Wewe una mavi kabisa kichwani mwako. Shithole.