Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

CCM team Samia wajanja sana wanavunja ngome ya CHATO kwa kuitumia CHADEMA then baadae wakishawaaminisha kwamba bwana yule alikuwa fisadi basi itakuwa rahisi sana wao kumalizia tu.
Kumbe ni ccm kwa ccm wenyewe? Mbona wananchi wanaunga mkono?
 
Jpm kakaaa kwenye uwaziri toka enzi za Mkapa, Magufuli hakuwa mwanasiasa mchanga na pia alikuwa na mali zake binafsi.

Hizo pesa hazitoshi kumuita fisadi labda angekutwa na trillion 2 hivi.
Bora wewe unakubali kwamba zilikutwa kwake ila zilikuwa za halali , Mayalla na mamluki wenzake wanaona Lissu anazusha , yaani Magufuli asingeweza kuweka mihela ile nyumbani !
 
Hakuna Mtanzania Hata mmoja anayeishi kwa mshahara

Kama unabisha muulize mchungaji wako hapo KKKT kama anaishi kwa mshahara 😀😀🔥
You are correct, very correct, but that does not bail him(Magufuli) out from theft! Magufuli, a person entrusted to handle faithfully , a trustee of public treasure
 
Na wewe siuko kumtetea Rais Samia na sisi tupo kwa ajili ya Magufuli sasa mbona unaumia!!?
Tatizo hamjui hao chadema wanatumika kuvuruga image ya magu wenu ili baadae CCM team samia wanakuja kuwaaminisha vingine wananchi wakishakuwa confused kura itakuwa ishapigwa
 
Ni kweli sio nyingi sana. Ila kukaa na pesa nyingi hivyo nyumbani kuna tia walakini
Wewe unaamini ujinga wa Lisu? Kazi yake kujiropokea tu kutafuta attention! Wewe ulishajiuliza ina maana serkali ilienda kufanya upekuzi kwenye makazi yake?
Je familia ni wajinga mpaka wasiweze kuhifadhi hela hizo vizuri?
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Wee jamaa nakukubali sana upo balanced, logical and grounded in common sense. Zaidi ya hapo hizi tuhuma za Lissu ni very serious kama ni za kweli.
 
Kumbe ni ccm kwa ccm wenyewe? Mbona wananchi wanaunga mkono?
Yes sababu mwananchi ni innocent receiver wa information. Chadema hawakuwa na hii ishu ya kumchafua magu huko kwao zaidi ya kwenda kuelezea ishu ya bandari na kumsifia kwamba asingekubali huu mkataba lakini ghafla wameingiza na ishu ya magu kukutwa na hela zote hizo. Does it click in your head? Mtu waliyeenda kumsifia then ghafla wanamchafua kwa faida ya nani?

Hii ndio iliyowapeleka huko mpaka kwenda kuhiji kaburi lake? Hapo ni kwamba kuna team sukuma gang ambayo baada ya samia kuingia walikosa power ila wameanza kugain tena baada ya ishu ya mkataba wa DPW sasa chadema walivyosema wanaenda kwa team samia waliona ni sahihi wacha wakaivunje team sukuma gang kwa kumchafua mtu waliyeamini siasa zake.

Huu ni mtaji wa team Samia.
 
Kiasi chote hicho cha pesa kilikutwa nyumbani kwa Magufuli, ina maana alikiweka kwa siri hata mke wake na wengine wa familia yake hawakujua?

Ina maana baada ya msiba wa Magufuli kutokea, kuna watu waliokwenda nyumbani kwake, wasio wanafamilia waliopekuwa nyumba yake na kukuta kiasi hicho cha pesa?

Kama jibu ni ndio, kuna watu waliingia nyumbani kwa Magufuli na kupekuwa, tujiulize, hawa walifanya upekuzi kwa malengo yapi? walikuwa wanapekuwa nyumbani kwa Magufuli kutafuta nini? alikuwa mtuhumiwa? wanafamilia walikuwa na taarifa ya huo upekuzi?

Kama wanafamilia hawakuwa na taarifa juu ya huo upekuzi, kuna ubaya gani nikisema hao wapekuaji ndio waliokuwa na nia mbaya, kwa kuweka kiasi hicho cha pesa ili kumchafua marehemu Magufuli? [ hii ni tabia ya polisi wetu wengi].

Naandika hivyo hasa nikizingatia hali iliyojitokeza baada ya msiba wa marehemu Magufuli, wapo walioshangilia kwa namna tofauti, wengine wakadai nchi inapumua, mwingine akadai Mungu ameamua kesi, na mwingine akasema wazuri hawafi, je, hawa hawawezi kutengeneza tukio ili ku justify madai yao dhidi ya marehemu?

Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Lisu ni mbwa
 
Wewe una mavi kabisa kichwani mwako. Shithole.
Ningekuwa nina mavi nisingeweza kujua kuwa Magufuli alikuwa anashabikiwa na wapumbavu. Unaona jinsi mlivyompoteza kama akaona korona ni kama jambo la uzushi.

Tulipiga kelele sana hapa kuwa waote waliokuwa wamemzunguka walikuwa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa na walikuwa hawamwambii ukweli japo alikuwa anafanya makosa mengi nyie mkadhani alikuwa mungu mdogo.

Mmeula wa chuya. Na subirini uchaguzi wa 2025 ukiisha kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom