Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Mm hata niambiwe Mzee Magufuli alikua jambazi wa kutupa bado nitakua upande pmj na kwamba hatunae tena, naamini mzee alikua na nia njema na uchungu juu ya Taifa hili lenye viongozi wezi na mafisa
 
Mkuu Pascal Mayalla ushahidi wa nini kwa watu wasioshitakika? Ili uupeleke wapi? Ukaufanyie nini?
Wakati mwingine hiyo ndiyo gharama ya kuwa na kinga kubwa za ajabu ajabu.
 
Wewe namba gani huko kubeba mabox na kubaguliwa na hao mabwana zako mabeberu unaona sifaaa!! Shithole
Thubutu! Hayo ni maneno ya kijiweni na wapumbavu kama wewe ndiyo mnakariri. Nimesema Magufili ameondoka na utakiona cha moto uchaguzi wa 2025 ukipita. Sasa hivi mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili 2025 msilete longolongo.
 
Mm hata niambiwe Mzee Magufuli alikua jambazi wa kutupa bado nitakua upande pmj na kwamba hatunae tena, naamini mzee alikua na nia njema na uchungu juu ya Taifa hili lenye viongozi wezi na mafisa
Najiuliza kwa hiyo walipozikuta walizichukua? Wakazipeleka kwa nini? Aliyewatuma ni nani? Kwa lengo gani?
 
Tundu lisu ziku zote huwa anatoa taarifa zenye uhakika sina shaka katika hili makinikia alishashauri lakini watu walimuita kibaraka leo hii kweli tunashitakiwa
 
Lissu anajimaliza kisiasa na kuiua CDM

hajui nini aseme wapi na nini asiseme wapi,,
Muambieni Lissu JPM ndio mfalme wa Kanda ya ziwa.
Hiki ndio hata mie nimeongelea na wao hawataki kukaa kuwaza kwa nini tunasema hivi.

Ni kwamba Magu bado yupo mioyoni mwa watu wengi wa kanda ya ziwa na legacy yake kwao ni pride yao kwamba walitoa mwamba. Unapoenda na story ya kumkandia ni kweli hao jamaa watakusikiliza ila watakunyamazia tu ndio maana hao watu na watu wa iringa njombe makete wanataka kufanana. Utawasema watakuangalia tu halafu njoo siku ya kura ndio utaisoma.

Wao wangeiongelea CCM na ufisadi wake na mambo ya bandari nk ila kuja kumuattack mtu ambaye kwanza ni role model wao na ni marehemu hii nk strategy mbovu kwangu mie.
 
Moja ya sifa kubwa ya Lissu ni kusema ukweli. Hana tabia ya kusingizia uongo mtu hata kama ni mbaya wake.
Lakini hili jambo nilisikia likisemwa na watu wenye dhamana wa ndani zaidi.

Hizo hela kwa kusikia kwako zilichukuliwa na serikali au walipewa familia baada ya kuzikuta? Maana kama hawakupewa isije siku moja ata mjukuu wa magufuli kuzidai
 
Lissu ameanza kupotea njia...atuletee jinsi ya kupambana na hawa walio hai wanaolihujumu taifa.
Marehemu hajitetei.
Hivi unadhani Marehemu alikuwa anaiba peke yake kama kibaka wa mtaani?
Ukiona Rais anafanya wizi ujue ni chain ndefu inayowahusu wengi, anachofanya Lissu ni kutufahamisha kuwa wenzake walio wezesha wizi huo wapo ofisini bado.
 
Hakuna siri yoyote ile chini ya mbingu endapo "third party" akishirikishwa katika kutekeleza mchakato ama mpango wowote ule wa siri. Hata Rais wa Àfrika Kusini naye ana kisanga kama hicho.
 
Hata gold alikutwa nazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…