wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
Hizo ni Shilingi 100,000,000,000/=.
Mzee wa Jalalani na Bashruni watakuwa wanazijua hizi.
Kwani Billioni 90 ni pesa za kushangaza nazo hizo?Mtoa mada anapunguza makali,sema Shilingi Bilioni 90 zilikutwa nyumbani Kwa Magufuli Mzee wa kupambana na Mafisadi 😂😂😂😂😂
Sure.Dola 42m USD ni container ya 40ft ikiwa fully loaded na ushenzi mwingine juu. Hapa lissu ametuonamo. Uongo.
Lissu ni much know and under this sun,he will never be a president.
Kumjua b mkubwa wako inatosha kaka🙏Huna lolote wewe. Upumbavu na kutoijua dunia tu ndiyo kunakumaliza.
Evidentaly au ni maneno?Sio pesa tu na zahabu kilo 27kg zilikutwa ndani ya handaki nyumbani ya huyu fisadi alie juficha kwenye picha ya uzalendo, kumbe jizi.
Ingekuwa china huyo alitakiwa anyongwe au kaburi lake lichomwe na asizikwe Kwa heshima ya Nchi.Kwani Billioni 90 ni pesa za kushangaza nazo hizo?
Sio uongo hizo tetesi na za siku nyingi ila zilikua zinasubiliwa nani aziazishe Lisu alipua utaona mengine mengi tu.Dola 42m USD ni container ya 40ft ikiwa fully loaded na ushenzi mwingine juu. Hapa lissu ametuonamo. Uongo.
Lissu ni much know and under this sun,he will never be a president.
Hii mistari..., kuna jibu humo.Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
We ka hapo kusubilia evidance nchi haina ga cha evidance, hawawezi kumsingizia yule jama alikua mwizi tena katili.Evidentaly au ni maneno?
42,000,000 x 2300=9,660,000,000
Kwa dola sio nyingi , ni kidogo mno, ila madafu kirikuu inajaaDola 42m USD ni container ya 40ft ikiwa fully loaded na ushenzi mwingine juu. Hapa lissu ametuonamo. Uongo.
Lissu ni much know and under this sun,he will never be a president.
Team Samia isinge acha kusema! Watu wa CCM akina Nape na team Msoga lazima taarifa tungezipata huko! Lisu anafanyia kazi story za vijiweni!Sio uongo hizo tetesi na za siku nyingi ila zilikua zinasubiliwa nani aziazishe Lisu alipua utaona mengine mengi tu.