Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Mtoa mada anapunguza makali, sema Shilingi Bilioni 90 zilikutwa nyumbani Kwa Magufuli Mzee wa kupambana na Mafisadi 😂😂😂😂😂
 
Dola 42m USD ni container ya 40ft ikiwa fully loaded na ushenzi mwingine juu. Hapa lissu ametuonamo. Uongo.
Lissu ni much know and under this sun,he will never be a president.
 
Sio pesa tu na zahabu kilo 27kg zilikutwa ndani ya handaki nyumbani ya huyu fisadi alie juficha kwenye picha ya uzalendo, kumbe jizi.
Evidentaly au ni maneno?
 
Kwani Billioni 90 ni pesa za kushangaza nazo hizo?
Ingekuwa china huyo alitakiwa anyongwe au kaburi lake lichomwe na asizikwe Kwa heshima ya Nchi.

Pumbavu sana jitu kama Hilo ndio lilikuwa linaita wenzie wezi si ajabu lilikufa.
 
Dola 42m USD ni container ya 40ft ikiwa fully loaded na ushenzi mwingine juu. Hapa lissu ametuonamo. Uongo.
Lissu ni much know and under this sun,he will never be a president.
Sio uongo hizo tetesi na za siku nyingi ila zilikua zinasubiliwa nani aziazishe Lisu alipua utaona mengine mengi tu.
 
Sijui Lissu amezungumza hivyo kwa nia ipi, lakini nikizingatia heshima yake, nafasi yake, na chama anachotoka, siwezi kusema moja kwa moja Lissu anasema uongo, inawezekana ana taarifa za ndani zaidi ambazo wengi wetu hatuna, hasa nikizingatia informers waliokuwa wakimjuza juu ya unyama ambao angeweza kufanyiwa mpaka kukimbia nchi. Naona asibezwe, wala kuaminiwa 100% kwa hii taarifa yake.
Hii mistari..., kuna jibu humo.

Itakuwa nijambo la kushangaza sana Lissu kuyasema hayo aliyosema, tena mahali alipoyasemea na ikawa ni kelele za kupayuka tu.

Nia ya kuyasema haya katika hadhara hiyo hasa ililenga kitu gani?

Lissu ana tabia moja ambayo sasa inajulikana. Hana tabia ya kinafiki, kulembalemba juu ya jambo lolote analolijua yeye.
Shida pekee ninayomtahadharisha juu yake, ni kuwa na uhakika juu ya usahihi anayoambiwa, na yeye kuyatangaza.

Kutokana na tabia aliyokuwa nayo Magufuli, siwezi kamwe kwa sasa hivi kutetea kwamba asemayo Lissu ni uongo.

Ila, kama ulivyoeleza, huo msako nyumbani kwa Magufuli ulifanywa na nani na kwa sababu zipi hasa?
 
Zilkutwa na nani ?

Nani alikuwa na mamlaka ya kuiingia ku sachi nyumba ya Mama Janet akaona hela ? Kwa hili simuelewi Lissu.
 
Lissu ni muongo, shida zaidi ni wafuasi wa huyu ropo-ropo ambae hajui anafanya nini kwenye siasa zaidi ya kutupigia kelele zisizo na kichwa wala miguu; halafu kuna watu wanachukua kauli zake at face value.

Baada ya kutunga uongo wake wa DPW sasa kahamia kwa Magufuli; yote hayo yanaisaidia vipi CDM kwenye political mileage za uchaguzi wa 2025.

Wananchi wengi hawana interest na habari za bandari, kwenye mikutano yao CDM ni nadra sana kuzungumzia changamoto za maeneo enyeji wanayozunguka wao ni ropo ropo tu.

$42 million dollars in 100 bills stacks urefu wake ni feet 143, ni sawa na ‘Antony Davies’ kama 21 uwalaze kwenye chumba, hizo hela hata kwenye transit van zinaweza zisitoshe. Huyo Magufuli ni mjinga kiasi gani asijue offshore accounts aweke hizo hela nyumbani kwake.

Ujinga mtupu
 
Dola 42m USD ni container ya 40ft ikiwa fully loaded na ushenzi mwingine juu. Hapa lissu ametuonamo. Uongo.
Lissu ni much know and under this sun,he will never be a president.
Kwa dola sio nyingi , ni kidogo mno, ila madafu kirikuu inajaa
 
Sio uongo hizo tetesi na za siku nyingi ila zilikua zinasubiliwa nani aziazishe Lisu alipua utaona mengine mengi tu.
Team Samia isinge acha kusema! Watu wa CCM akina Nape na team Msoga lazima taarifa tungezipata huko! Lisu anafanyia kazi story za vijiweni!
 
Back
Top Bottom