Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

Hata kama, tutumie lugha za staha! Kuna maisha baada ya siasa. Matusi hayajengi. Shukrani
Sawa umeeleweka elli mshana. Ila kura yako muhimu kwa Magu elli mshana.. kiukweli tunaihitaji sana.
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Hapana Wala hajajichanganya anajuwa kuwa Sheria ilianzisha Jeshi la mgambo na mgambo pamoja na wastahafu wa majeshi mengine wakaitwa Jeshi la Akiba lkn wote walipohitajika kutekeleza majukumu yao hawakuwajeneralized, walicategorised kulingana na majeshi yao. Mf wa mstahafu wa jwtz, polisi, magereza tiss etc watavalia mavazi yao ya majeshi (waliyokuwa wanayumikia) pale walipotumikia.,sasa watawala wakabadili maana bila kuweka kwenye sheria. Swali waweza kutuambia ni lini Sheria ilibadili Jeshi rasmi lenye sare zinazopromoti kuwa ni Jeshi lipya la Akiba? Reasoning....
 
Bali ni mpango wa Mungu.

Sheiza si unaona tunaweza kubishana bila kutukana? Tujirekebishe tafadhali, let's feel proud kutumia lugha ya staha
Sawa. Ila mpango gani wa Mungu ambaye hatambui hata uwezo wa Mungu kwenye covid 19.
 
Mkuu it seems wewe ni mgeni hapa Tanzania? Unaijua hospital ya Apolo au St Thomas? Ulizijuaje?
 
Jamani lissu n upstairs kwa kweli,

Hilo jeshi la akiba liliundwa kwa sheria ipi, na minajiri gani?
Wote mnaohoji juu ya kuwepo kwa jeshi la akiba Ni Wapumbavu na Akili zenu mwazifanya vipofu angali macho yaona.

Mataifa mengi na yenye nguvu duniani(USA,CHINA,URUSI na N.k) yanalo jeshi la akiba,
Vijana Kila mwaka wanahitimu mafunzo ya Kijeshi nchini nakupewa vyeti vyenye force number ya Kijeshi Sasa unafikiri hao wanavyorudi mtaani watakuwa wanaitwa je? Kama siyo reserved force army.

Lissu Ni mpotoshaji mzuri tu tena kwa kupitia mgongo wa Sheria uchwara aliyo nayo kwahiyo nyie vifaranga mnaoshadadia huu ujinga ipo siku Atakuja kuwalamba makario na kuwambia hamna Sheria inayozuia nisiwalambe makalio.

Au ipo siku atakwambia ukafanye mapenzi na Kaka/dada ako kwa kukuaminisha kuwa hakuna Sheria inayokuzuia kutofanya mapenzi na ndugu yako isipokuwa mke wa mtu tu.

Haya endeleni kufuata Akili za kijinga.
 
Nilivyoona matusi na kejeli. Sikuona haja ya kukujibu.
Poleeeeeh sana.
 
kwani utaratibu wa kufanya usafi kwenye mitaa yetu upo kisheria?
Ndio. Zipo sheria ndogo zinazotungwa na halmashauri za miji na manispaa za kutunza mazingira.

Nyie ndio washauri wa serikali mnaompotosha Rais kwenye kila jambo!

Wengi wenu ni wajinga mno!
 
Nani kakuambia kwmb JPM ndo kaanzisha kamandi ya jeshi la akiba?
 
Nauliza Jeshi la Akiba Mbona silioni tena kwenye Mikutano ya Lissu, limeshakufa ghafla hivi au wamerudi Kambini (au msituni sijui) kujipanga?

Ila tuseme Ukweli bila Lissu nchi hii inaweza kutumbukia kwenye mambo ya kishenzi haijapata kutokea, dah...Lissu amemlazimisha hata Mgombea wa CCM akiri yeye anaomba ridhaa ya Miaka mingine mitano TU astaafu kama Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete dah, kabla ya Kampeni alikuwa akientertain kauli za kichochezi za Ndugai kuwa ataongezewa Miaka atawale milele apende asipende, dah

Jeshi la Akiba:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…