Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
CCM baada ya kupekua makabrasha yote ya sheria za nchi hii hawajakutana na kitu kinaitwa jeshi la akiba, wakaona sio kesi ngoja tulipotezee hili suala.Nauliza Jeshi la Akiba Mbona silioni tena kwenye Mikutano ya Lissu, limeshakufa ghafla hivi au wamerudi Kambini (au msituni sijui) kujipanga?....
Tena akifanikiwa kutoboa uchaguzi huu ndio ataongeza dose ya ukatili mara 100, lolote lifanyike kumzuia asifanikiweMagu hawezi kubadilika kuwa bora baada ya uchaguzi dawa ni kumpiga chini tu.
Ccm baada ya kupekua makabrasha yote ya sheria za nchi hii hawajakutana na kitu kinaitwa jeshi la akiba, wakaona sio kesi ngoja tulipotezee hili suala.
Heshima kwako kamanda Lissu
LiniJeshi la mgambo ndilo lilibadilishwa jina likaitwa jeshi la akiba, sasa huyu lisu nae kila kitu kujifanya anajua kumbe mavi tu
Rais Magufuli mpaka dakika hii anatembelea 'rims' kakata pumzi mzee wa watu.
Msongo utampeleka pabaya!
Lilibadilishwa na nani tuwekee hio sheria hapa sio kuropoka tu,mnataka kutuletea Interahamwe hapaJeshi la mgambo ndilo lilibadilishwa jina likaitwa jeshi la akiba, sasa huyu lisu nae kila kitu kujifanya anajua kumbe mavi tu
Jeshi la Akiba la Magu. Alikuwa anaandaa vikundi kama Hezbollah, Taliban, M23😅😅😅Nauliza Jeshi la Akiba Mbona silioni tena kwenye Mikutano ya Lissu, limeshakufa ghafla hivi au wamerudi Kambini (au msituni sijui) kujipanga?
Ila tuseme Ukweli bila Lissu nchi hii inaweza kutumbukia kwenye mambo ya kishenzi haijapata kutokea, dah...Lissu amemlazimisha hata Mgombea wa CCM akiri yeye anaomba ridhaa ya Miaka mingine mitano TU astaafu kama Nyerere
Makundi ya kigaidi kama Hezbollah, Taliban, M23, Ali-shaabab yalianza kama hivi hivi mara jeshi la akiba, mara wanamgambo wa kujihami n.kSheria ya nchi inataka kuanzisha jeshi la akiba wakati wa vita sio wakati wa uchaguzi Jiwe anajiaandaa kumwaga damu hajisikii bill kumwaga damu View attachment 1558799
Mkuu na mbuge kazi yake ni nini??..Meja Jenerali Busungu ni mkuu wa JKT.
..jeshi la akiba ni chombo cha kuunga-unga, haliko kwa mujibu wa sheria.
Mlibadilisha wapi?Jeshi la mgambo ndilo lilibadilishwa jina likaitwa jeshi la akiba, sasa huyu lisu nae kila kitu kujifanya anajua kumbe mavi tu