Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hii ya kujiundia undia vikundi vya kijeshi bila kufuata taratibu za kisheria ndiyo mwanzo wa kuwa na jeshi lililo loyal kwa mtu mmoja badala ya mfumo mzima wa ulinzi wa nchi, matokeo yake ni unyanyasaji wananchi, ukatili na hata uasi katika nchi