Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

Nimegundua kwamba najadiliana na mtu ambaye hajui lolote
 
Unajua hitaji la sheria ya uchaguzi kuhusu ulinzi wa mikutano ya kisiasa ?
ULINZI HAUNA MIPAKA MKUU USILAZIMISHE UNACHOKIFIKIRIA POLISI HAWAWEZI ENEA KILA MAHALI ILA KAMA KUNA NGUVU KUBWA ITAHITAJIKA BAADA YA WANAMGAMBO KUZIDIWA SIYO POLISI TU WATATUMIKA BALI WALINDA AMANI WOTE WATATUMIKA KWAKUWA NI JUKUMU LAO KIKATIBA
 
Mkuu nijibu kwanza tuko vitani mpaka tuite jeshi letu hilo mnalosema la akiba ???

Kazi za mgambo wakati wa amani ni zipi? Usinitajie ile kazi yao wakati wa utawala awamu ta 4 ya kudhulumu bidhaa za machinga na kuteka vyakula vya mama/baba lishe.
 
UNADHANI WALIOTENGENEZA HIYO NEMBO NI WAJINGA KAMA WEWE? KAMA UNADHANI NI MCHEZO KAIBANDIKE KWENYE SHATI LAKO NDIYO UTAJUA INA WENYEWE AU LA NA WAPO KISHERIA AU KISIASA WEWE VAAA TU TUTAKUJULISHA KWA VITENDO MAANA MANENO YAMETOSHA.
 
Ujuaji mwingi utawaponza ukihoji uhalali wa wanamgambo maana yake unahoji uhalali wa Jeshi la wananchi wa Tanzania kwakuwa mgambo ni sehemu ya jeshi hilo.

Tangu lini jeshi la wananchi likalinda mikutano ya kisiasa/kampeni?

Kwa taarifa yako na wenzako kila mtanzania ni mlinzi wa nchi yake popote alipo, mikutano ya siasa ni sehemu ya shughuli za watanzania na wanahitaji ulinzi bila kujali anayelinda ni nani ili mradi anayelinda hajavunja sheria ya ulinzi na usalama.
Ulimsikia Sirro siku ile akikataza wapinzani kulinda kura zao?
 
INTERAHAMWE pia walitungiwa visheria feki ilimuradi tu wamwage damu za Wananchi

Vijana wengi wa hilo jeshi la Magufuli wanajulikana wamechukuliwa kwenye vijiwe vya wakereketwa hawajui sheria za Nchi hawajui haki za Binadamu

Ndugu zangu iwapo nasi wananchi tukiamua kuwa na jeshi la kutafuta haki hao vijana sijui wataiingia wapi
 
ULINZI HAUNA MIPAKA MKUU USILAZIMISHE UNACHOKIFIKIRIA POLISI HAWAWEZI ENEA KILA MAHALI ILA KAMA KUNA NGUVU KUBWA ITAHITAJIKA BAADA YA WANAMGAMBO KUZIDIWA SIYO POLISI TU WATATUMIKA BALI WALINDA AMANI WOTE WATATUMIKA KWAKUWA NI JUKUMU LAO KIKATIBA
Mbona chaguzi zingine walikuwa wanaenea huu imekuwaje ?
 
Kazi za mgambo wakati wa amani ni zipi? Usinitajie ile kazi yao wakati wa utawala awamu ta 4 ya kudhulumu bidhaa za machinga na kuteka vyakula vya mama/baba lishe.
Mimi nimeuliza tuko vitani wewe unaleta ngonjera za kitoto ?
 
Mbona chaguzi zingine walikuwa wanaenea huu imekuwaje ?
Mkuu huyo achana naye ni mweupe kichwani then anajifanya mjuaji, swali dogo tu 'limeundwa kwa mujibu wa sheria ipi?'

Comment ziko 100+ hakuna anayejibu swali wanatoa maelezo off point, nimeona mwingine kaweka hadi nembo ya jeshi la akiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa watu ni wa ajabu sana hawajui chochote halafu kila mada wanadandia hata kama hawana majibu
 
Tena wamekuwa wakisema mikutano ya Lissu haina watu ila cha ajabu hadi 'jeshi la akina' limeitwa kusaidia.
Kuna mkutano wa Kawe polisi walileta defender 8 zimejaa polisi sasa sijui walikuwa wamekuja kulinda nini
 
Hilo ni la mgambo. Tunataka la jeshi la akiba
 
Wenye hatia hujaa hofu daima. Defender 8 kulinda watu wasio hata na toothpick mkononi?!
Hawa jamaa wanajua kuchezea kodi zetu haswa, then utasikia, 'serikali yangu inabana matumizi'
Kuna mkutano wa Kawe polisi walileta defender 8 zimejaa polisi sasa sijui walikuwa wamekuja kulinda nini
 
hizi ndio sera za mgombea wetu!!!!!

asubiri akipita atarekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…