Uchaguzi 2020 Lissu hafahamiki kabisa vijijini kwenye wapiga kura wengi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
 
Asubuhi yote hii unaanza kulialia? Leo tupo Mbeya
 
Mi naona mgombea wa Chadema anafanya kampeni mijini,sasa wapiga kura wako town tuu? Halafu utegemee kushinda duu
Lisu anafanya utalii wa mijini yaani Town tourism
 
Si kweli nenda vijijini uone si bongo lala Kama unavyodhania
 
Shida vijijini elimu hawana..
Wanajua nini?
Maendeleo?Barbara?
Wanajua hata pesa zao zinatumikaje?
Wapo nyuma sana.
 
Kumbe na wewe umeliona hilo halafu waje waseme wameibiwa kura wakati kuna maeneo hawajulikani kabisa na magufuri anakubalika, hata ukijalibu kuwauliza changamoto za utawala wa magufuli wanajibu wanao lalamika ni waliokua wamezoe ujanjaujanja tu sisi huku kazi yake tumeikubali, kwa maelezo hayo tu naona lisu hashindi kabisa namatokeo yakitangazwa magufuli kashinda atulie ajipange upya 2025 ajalibu tena.
 
Mpuuzi na Lofa pekee ndiye anaweza kusema na kuamini hilo.
TL ni popular mbaya sana
Mlifanya kosa kumpiga chuma maana vile vyuma ndio vilimpaisha si Vijini bali Duniani
 
Njoo huku usukumani watu walikopwa pamba walioilima tangu mwaka juzi Lissu alipotamka kuwa akiingia madarakani pamba haitakopwa ndani ya siku mbili wakulima wote wamelipwa sasa hivi wanamwita Lissu mkombozi.

Hao unaowaita mbumbumbu kijijini sio Kwa Karne hii, mwaka 2015 Kura za urais ccm 8mil. CDM 6 mil na hapa ni baada ya wizi uliosimamiwa na nec wakisaidiwa na tiss.

Waliokopwa mazao wapo vijijini hadi ninapoandika sasa hivi kuanzia kwenye korosho, pamba, kahawa ni maumivu ukija kwenye mazao mchanganyiko mipaka imefungwa wakulima hawana hela mazao wanayo ndani hawawezi kuuza unadhani aliyefunga mipaka hawamjui?

Jana jpm alikuwa maswa akawaomba wakulima wasimpe adhabu ya kutawala muhula mmoja.
 
Huko vijijini hawana shida ya maji?
Huko vijijini Hawajui kama Ajira hakuna?
Huko vijijini hawajui gharama za pembejeo?
Huko vijijini hawajachomewa nyavu zao?
Huko vijijini hawajapoteza ndugu zao kwa kuzamishwa ziwani?
Huko vijijini hawana shida na vituo vya afya?
Huko vijijini watoto wanapewa elimu bora?

Ndugu jitoe fahamu tu kana kwamba unaongelea vijiji vya England .
 
Hongera sana ila hujasema hizo wilaya zina vijiji vingapi na wapiga kura wangapi.na kati ya hao umeongea na wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…