Nani kakwambia nchi za Afrika, Rais anachaguliwa na wapiga kura.
Nchi zisizo za kidemokrasia, Rais anachaguliwa na wapiga kura.
Nchi zisizo na Tume huru ya uchaguzi, Rais anachaguliwa na wapiga kura.
Nchi ambazo Raisi ni kila kitu, Rais anachaguliwa na wapiga kura
Nchi zilizo wajinga na wapumbavu, Rais anachaguliwa na wapiga kura.
ILI UWE RAIS WA NCHI HIZI NI KUKUBALIKA KWA MABEBERU. MABEBERU WANAJUA BILA KUINGILIA KATI HATUWEZI KUWATOA WATAWALA WETU MADARAKANI.
Hata ushinde kwa 100% kama Rais wa Malawi. Watakutoa tu
Hata wananchi wako uwape maji na umeme bure kama Ghadafi, watakutoa tu.
Hata uwagawie wananchi wako aridhi bure kama Mugabe, watakutoa tu.
Hata nchi iwe na maflyover kama Misri, watakutoa tu.
Hata utoe elimu bure hadi chuo kikuu, watakutoa tu.