Uchaguzi 2020 Lissu hafahamiki kabisa vijijini kwenye wapiga kura wengi

Hata mkitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Maoni ya mdau wa jf
 
Chama hakina muunganiko huko chini, kinapataje ushindi. Halafu wanadanganyika na mikutano ya mijini wakidhani mahudhurio ndiyo kura.

Ila sasa hivi inabidi waitwe Chadema lia lia.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Vijijini anafahamika mmeo!
 
Kweli kabisa aisee,maana mkoa wa Mbeya wote walipata jimbo hilo la Sugu.Kwa Songwe ndio walishinda kwa Mwakajoka,Silinde na Haonga.
Ngoja tuone 2020 hawakawii kulalamika
Mbeya this time watachukua jimbo la Rungwe, Mbeya mjini na Mbeya vijijini.

Song we this time watachukua jimbo la Tunduma, Vwawa, Mbarali na Momba.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Yaani wewe ni muongo mpaka shetani anakuogopa
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Hujakoma tu kuweweseka??
 
Sema Mko mbeya mjini sio Mbeya kazi yenu kuzurura tu mijini tena miji michache .Sogeeni vijijini muone mziki wake
Mi naona mgombea wa Chadema anafanya kampeni mijini,sasa wapiga kura wako town tuu? Halafu utegemee kushinda duu
Tatizo lenu nyie mataga huwa mnaonekana kabisa mnaogopa hata kuangalia au kusikiliza lisu hotuba zake na jana pale Dodoma ametaja mikoa takayo kwenda awamu ya pili itakuwa ni jimbo kwa jimbo bampa to bampa msikilizeni mpate uponyaji wa kifikra na kimaisha uamuzi ni wako hulazimishwi[emoji119]
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Aende na hoja sasa, Asifike kule akaanza kutoa ushuhuda wa kupigwa rusasi 17 na wasiojulikana.
 
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Mnadhani vijijini hawapati habari kama zamani. Unaweza ukawa mjini huna smartphone, mtu wa kijijini anayo kali na anapata news kila siku kukuzidi
 
Hao vijijini ndio tunawatumia sukari katika hiki kipindi cha miaka mitano ya suluba.

Sasa sijui unaweweseka kwa lipi?
 
Kampeni anafanya jamaa peke yake kwa miaka mitano na vyombo vyote vya habari vinafanya propaganda unategemea atafahamika vipi ?, kwa njia ya Ungo au kwenye Karai ?
 
Endelea kuota huku umejifungia kwenye vyoo vya lumumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu unaonekana CCM kabisa alafu unateseka sana,maana hata chai yako umeshindwa kuiwekea viungo hili tunywe, Nukuu”nimetembelea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu” serious?
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Hapo ndo CCM watamupigia panga takatifu. Lissu 18%, JPM 81%, Membe 1%, vilivyobaki watagawana 1%. Mtandao na resources kwa Lissu ni kama hakuna, mtandao wake ni wapiga debe wa mijini tu ambao hawapigi kura.
 
Mi naona mgombea wa Chadema anafanya kampeni mijini,sasa wapiga kura wako town tuu? Halafu utegemee kushinda duu
Labda tatizo ni ukwasi,wageweza wakafanya sehemu zaidi tatu kwa muda ule ule,kwa kuwakirishwa na vigogo wa Chadema. Nimeona CCM wana Majaliwa,Makamu wa Raisi,Kikwete wapo maeneo tofauti tofauti wakimpigia kampeni Magufuli ,wabunge na madiwani.
 
Kijiji gani......
Watz wanataka mabadiliko hawaitaki ccm basi
 
Huyu ndio think tank wa lumumba , yaani kaaminika Mpaka kupewa kazi ya kuanzisha nyuzi humu ,maskini Dunderhead at fleek .
 
Back
Top Bottom