Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafika vijijini kwa mwendo wa kuchangisha hela ya kampeni?Naamini huko kote watafika sasa wanazindua kampeni zao kwa kanda mabadiliko yoyote huwa yanaanzia mjini na vijijini watafuata
Ndoto hiiPole lisu ndio rais wako
Hakunaga hii kitu, dunia ya leo sio ileeeShida vijijini elimu hawana..
Wanajua nini?
Maendeleo?Barbara?
Wanajua hata pesa zao zinatumikaje?
Wapo nyuma sana.
Hii ndio shida ya wapinzani wanadharau kura za vijijini na wilayaniMi naona mgombea wa Chadema anafanya kampeni mijini,sasa wapiga kura wako town tuu? Halafu utegemee kushinda duu
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.

Lini hiyo ndugu ulipita vijiji hivyo?Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Baada ya matokeo utawasikia tumeibiwa kura, tunaenda mahakamani au tunaitisha maandamano wakati mgombea anabwabwaja tu mjini kusema kapigwa risasi utadhani hatujui hilo.Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.