Uchaguzi 2020 Lissu hafahamiki kabisa vijijini kwenye wapiga kura wengi

Sina hakika na mtoa mada, japo mpaka sasa huko vijijini kuna mpambano mkubwa mno kati ya Lissu kwa jina na Magufuri...mbaya zaidi Magufuri kachafuliwa mno. Lissu anajulikana kama ni mkombozi ndio maana walitaka kumuua
 
Huoni kwamba mazingira yasiyo rafiki yaliyochangiwa na serikali ya ccm ndio yamechangia hilo
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
mkuu hapa umechemka kumbuka kwa sasa tunazungumzia lissu kama mgombea pitia chadema kama mpeperusha bendela ilitakiw kuhuliza pia kama chama cha chadema wanakifaham apo ungepata jibu sahii sana , usifanye utafiti kama wa jamaa flani niowaona wakilazimisha maji panda mlima kupita kulazimisha utafiti wao wa kiajabu ajabu ,na siku moja watasema ni wasomi kweli kweli
 
Anautaka URais kwa watu wa Mjini huyo asubiri kuangukia pua
subiri wenzenu watakapo anza rusha chopa kwa kupishana angani ndo mtaelewa kwamba wanamanisha , yalisha kuwa na ukijalibu tu kulazimisha yanakugeuka na njia hutoipata
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.

Na ndiyo maana alipigwa risasi!
 
Mi naona mgombea wa Chadema anafanya kampeni mijini,sasa wapiga kura wako town tuu? Halafu utegemee kushinda duu
Hata huku Arusha ambako wanajiaminisha kuwa ndio ngome yao leo Waziri Mkuu uwanja huohuo watu ni kuliko wa mgombea Urais wa Chamadema.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
NIKO MWANZA MJINI SIJAONA POSTER YOYOTE YENYE PICHA YA LISSU YA UCHAGUZI KAMA NAVYOZIONA PICHA ZA MAGUFURI IVI KWELI CHADEMA WAMESHINDWA HATA KUWEKA PICHA MOJA KUBWA KILA WILAYA HIZI KAMPENI MBONA ZA AJABU SANA KWA UPANDE WA CHADEMA HAKUNA HATA VIPEPERUSHI VYA KUMTAMBULISHA MGOMBEA WENU
 
Labda tatizo ni ukwasi,wageweza wakafanya sehemu zaidi tatu kwa muda ule ule,kwa kuwakirishwa na vigogo wa Chadema. Nimeona CCM wana Majaliwa,Makamu wa Raisi,Kikwete wapo maeneo tofauti tofauti wakimpigia kampeni Magufuli ,wabunge na madiwani.
Kwani pesa za ruzuku zimefanya kazi gani, si wangewekeza kidogo kidogo kwa miaka mitano plus makato ya mishahara ya wabunge wangekuwa na zaidi ya mabilioni ya kampeni.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
NNi kweli nyie mnajulikana sana kwa jinsi mlivyowakopa wananchi mazao yao na kipindi hiki cha kampeni, mnakimbizana kupanga na kuwalipa.
 
Sina hakika na mtoa mada, japo mpaka sasa huko vijijini kuna mpambano mkubwa mno kati ya Lissu kwa jina na Magufuri...mbaya zaidi Magufuri kachafuliwa mno. Lissu anajulikana kama ni mkombozi ndio maana walitaka kumuua
Kete ya kwanza ya Magufuli ni kwa wabunge 18 waliopita bila kupingwa, maana yake hakuna mwakilishi wa upinzani.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Kwanza huko hawajui mambo sijui ya haki ya habali, hawana habali nazo.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Mbona fly over zipo mjini tu tena dsm lkn nchi nzima zinaongelewa...?
 
“Tuliambiwa kutakuwa na uchaguzi huru ila Wagombea wamekatwa, upinzani tumepeleka rufaa zaidi ya 500, Wabunge wangu 15 wamekatwa eti wanasema Chama hiki hawakijui?kweli jamani?, CHADEMA, ACT wamekatwa, Tume imesema inayashughulikia tunasubiri” -RUNGWE
 
1. Anakwenda mijini tu.

2. Anafanya mikutano maeneo yenye viwanja vidogo iwe rahisi kujaza watu.

3. Anahariri mno picha na video.

Umeibuka mtindo wa kurusha clips zosizozidi dakika tatu (3) na huwa ni edited kwa angle ambayo watu wataonekana wengi.

Picha zinazorushwa ni zile ambazo ziko edited au zilizopigwa katika Angle ambayo watu wataonekana kujaa

Mpiga picha atahakikisha mapengo hayataonekana katika picha yake.
 
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa

Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Hata yeye hana shida na wapigakura wa shambani kwani ujamwona anatumia ndege kusafiri katika kampeni. Ameshasema hakuna kipindi kingine cha kuinusuru CCM kama 2020 ataiondoa CCM asubuhi na mapema, kwa kura za mjini tu, tusubiri dk 90 za mtanange.
 
Back
Top Bottom