Shidundufilu
Member
- Aug 5, 2020
- 23
- 16
Mimi mtaani kwetu kijijini wote wameniambia Ni Yeye!Mtaongea mengi sana utafikiri hivyo vijiji sisi hatuvijui eti?
mkuu hapa umechemka kumbuka kwa sasa tunazungumzia lissu kama mgombea pitia chadema kama mpeperusha bendela ilitakiw kuhuliza pia kama chama cha chadema wanakifaham apo ungepata jibu sahii sana , usifanye utafiti kama wa jamaa flani niowaona wakilazimisha maji panda mlima kupita kulazimisha utafiti wao wa kiajabu ajabu ,na siku moja watasema ni wasomi kweli kweliNimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
subiri wenzenu watakapo anza rusha chopa kwa kupishana angani ndo mtaelewa kwamba wanamanisha , yalisha kuwa na ukijalibu tu kulazimisha yanakugeuka na njia hutoipataAnautaka URais kwa watu wa Mjini huyo asubiri kuangukia pua
Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Hata huku Arusha ambako wanajiaminisha kuwa ndio ngome yao leo Waziri Mkuu uwanja huohuo watu ni kuliko wa mgombea Urais wa Chamadema.Mi naona mgombea wa Chadema anafanya kampeni mijini,sasa wapiga kura wako town tuu? Halafu utegemee kushinda duu
NIKO MWANZA MJINI SIJAONA POSTER YOYOTE YENYE PICHA YA LISSU YA UCHAGUZI KAMA NAVYOZIONA PICHA ZA MAGUFURI IVI KWELI CHADEMA WAMESHINDWA HATA KUWEKA PICHA MOJA KUBWA KILA WILAYA HIZI KAMPENI MBONA ZA AJABU SANA KWA UPANDE WA CHADEMA HAKUNA HATA VIPEPERUSHI VYA KUMTAMBULISHA MGOMBEA WENUNimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
80% za wapiga kura wapo vijijini huku mijini mboyoyo za kwenye mitandao ya kijamii tu.vijijini kuna wapiga kura wengi kuliko mjini..??? acheni utani
Kwani pesa za ruzuku zimefanya kazi gani, si wangewekeza kidogo kidogo kwa miaka mitano plus makato ya mishahara ya wabunge wangekuwa na zaidi ya mabilioni ya kampeni.Labda tatizo ni ukwasi,wageweza wakafanya sehemu zaidi tatu kwa muda ule ule,kwa kuwakirishwa na vigogo wa Chadema. Nimeona CCM wana Majaliwa,Makamu wa Raisi,Kikwete wapo maeneo tofauti tofauti wakimpigia kampeni Magufuli ,wabunge na madiwani.
NNi kweli nyie mnajulikana sana kwa jinsi mlivyowakopa wananchi mazao yao na kipindi hiki cha kampeni, mnakimbizana kupanga na kuwalipa.Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Kete ya kwanza ya Magufuli ni kwa wabunge 18 waliopita bila kupingwa, maana yake hakuna mwakilishi wa upinzani.Sina hakika na mtoa mada, japo mpaka sasa huko vijijini kuna mpambano mkubwa mno kati ya Lissu kwa jina na Magufuri...mbaya zaidi Magufuri kachafuliwa mno. Lissu anajulikana kama ni mkombozi ndio maana walitaka kumuua
NDIVYO ITAKAVYOKUWA. AMENCcm inatakiwa iwe KANU October,.
Kwanza huko hawajui mambo sijui ya haki ya habali, hawana habali nazo.Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Mbona fly over zipo mjini tu tena dsm lkn nchi nzima zinaongelewa...?Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
Hata yeye hana shida na wapigakura wa shambani kwani ujamwona anatumia ndege kusafiri katika kampeni. Ameshasema hakuna kipindi kingine cha kuinusuru CCM kama 2020 ataiondoa CCM asubuhi na mapema, kwa kura za mjini tu, tusubiri dk 90 za mtanange.Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa
Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.