Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe

Lisu anafahamu hatari yake japo kwenye lugha za Staha ndio hana.

Mbowe na Mnyika hawanaga upuuzi
 
Hayo ni maneno ya kawaida, kuiangusha kuna maana nyingi na kupindua pia kuba maana nyingi, Nchi imejaa wahuni hii
 
Walianza Adamu na Hawa ambapo Mungu aliwaambia mtakufa hakika maana waliamini wakila tunda la mti wa kati watakuwa kama Mungu.

Hakuna mwanadamu anayestahili kumuua mwanadamu mwingine...

Umenukuu maneno ambayo, Mungu alitamka ya kwamba Adam na Hawa watakufa, na wala hakusema kwamba atawaua...
 
Weka ushahidi hapa, kama yeyote kati ya Adv. Mwabukusi, Mdude, au Dr. Slaa akitamka hayo maneno Rais apinduliwe, usilete porojo za kitoto hapa..
Hivi mtu akila kiapo cha uongozi akaenda tofauti na nakiapo adhabu yake ni hipi?
 
Hiyo ni sawa iwapo serikali hiyo iliingia madarakani kwa kura halali za wananchi. Ule uchafu wa 2020 haubebi utetezi wako.
 
Na ushahidi wa uhaini sio kutamka tu. Kupindua hadi kuprove dhamira lazima uwepo ushahidi. Kuwepo mipango maandalizi silaha etc. Kesi dhidi ya dr slaa inaweza sanasana kua uchochezi ambayo angeshinda kirahisi. Mwenyewe nilisikia amesema serikali isiyo sikivu hatua extreme ni kuipindua.
Binafsi nilisema waarabu watatuchochea kutengana. Watapandikiza udini ubara na uzanzibari maana ni hodari kuhonga. Wao mradi wapate wanachotaka. Samia ashauriwe aachane na hii mambo ya bandari. Sijui hizi sera anatoa wapi maana ccm bado rasmi ni chama cha kulinda maslahi ya umma.
 
Intimidating utawala qualifies to be treason. Soma vizuri section 139
 
Lisu ni mwanaseria mjanja na muona mbele, na anajua baadhi ya matamko ya makosa, hat ile kesi ya bandari Lisu alijua nini ukweli wa kesi kisheria ndoma hakujiingiaza katika utetezi aliamua kusema majukwaani kisiasa zaid.
 
Mwambufusi si naye mwanasheria sasa imekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…