Lissu hajawahi kutamka neno Rais apinduliwe


Wanajua, na wametamka, waache wapate tabu
 
Wanaharakati uchwara walitaka kujifanya wapo mbele ya sheria. Acha wajifunze hao.
Wajifunze au ndio mnawapa free publicity. Shida serikalini wamejaa wajinga Kama wale kwenye kesi ya madini wanaojitetea kuwa hawajui sheria maana wameamka vibaya asubuhi.
 
Kwa ujinga wa hii serikali lazima ipinduliwe.
 
Kwani mtu hata akifa kalala

Ukomo wa maisha yake unakuwa umefikia hapo kwa sababu hakuna anayeishi milele, misuli ya moyo inakuwa imefikia mwisho wa kusukuma damu...

huwa kauawa na nani Kama siyo Mungu!?..

Mungu sio chanzo cha mtu kufa, soma vizuri maandiko...

mwanadam aliyeua mwenzie anapaswa kuuawa ili wengine wahofu kuua wenzao,siyo unajua halafu unaendelea kuning'iniza kengele na mtindi duniani

Ili asiue watu wengine, mtu huyo anapaswa kufungwa au kutengwa na sio kuuawa kama ilivyokuwa kwa Kaini...

Hakuna mtu mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu...

Unamuuaje mtu ambaye unamuhuku kaua, kama kuua si sawa iweje umuue muuaji?
 
Shida ya Jeshi la Polisi ni kwenye kutetea hoja zao Mahakamani, nakumbuka kesi ya Ugaidi ya Mbowe,ilikuwa ni aibu kwa kweli!
 
Hakuna malaika mtoa roho,hutumwa na nani!?
 
Kwani nani alisema ‘apinduliwe’
Iko hivi
Tulipofika ni pazuri kuliko mnavyofikiri watetezi wa mwarabu
Dunia itaamua sasa
Endeleeni kujichimbia shimo
Mlipo karibu WaTanganyika watakuwa
Tutauimba wimbo Mpya
Wimbo wa ukombozi
Wimbo wa matumaini
Wimbo wa asili yetu
Tukijivunia vyetu

Ukweli utasimama
 
Kwa ujinga wa hii serikali lazima ipinduliwe.
Nakuambiaje, hakuna nzi wala kiroboto yeyote anaweza kuoindua Serikali ya Tanzania.

Nyie pindueni matako yenu mnapo pigwa mti na hao wafadhili wenu. Hatutaki mashoga Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…