Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi


Mwenezi yupo jikoni kutengeneza Dawa yao hawa binadamu.
 
Mtoa taarifa
 
Nobody is perfect. Everyone has got flaws but people learn and change. The guy is unstoppable, God’s purpose must prevail, hahaha goosebumps are inevitable.

Even if he does not change. What has that got to do with us? Please you can tell that to the birds.
 

Unfortunately huu ni msimamo wake wa zamani. Sasa hivi na yeye yuko katika dilemma kwamba waingie au wasiingie. Moyo wake u radhi wasiingie lakini kazunguukwa na watu wanaotaka ubunge ile mbaya, hao ndo hawataki kusikia habari za kutoingia ktk uchaguzi
 
Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya,

Hapatafanyika uchaguzi wowote, time hii, hakuna kususia!!
 
Ngoja tuonee...
 
mnafki zito kabwe kashasema ata shiriki uchaguzi. mbowe alivyo mtimua chadema alifanya la maana sana.
Mkuu tubet Million, CHADEMA hawana uwezo wa kususia uchaguzi mkuu, wa serikali za mitaa wanaweza mana hauwaathiri kwenye ruzuku, ila uchaguzi mkuu, hata bila kubadili sheria za uchaguzi hawa jamaa wanashiriki tu lazima,
 
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Lussu kastuka mapema, anajuwa wakiingia kwenye uchaguzi hawana chao.

Hata mgombea wao hawajui atakuwa nani. Anajijuwa uwa yeye hawezi kugombea tena, sasa anatafuta pakutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…