Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Aache kuropoka ropoka ovyo na kuongea kusiko na staha. Mwisho wa siku wote wanaingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi, mara kulialia kutolipwa stahiki zake za kibunge, wakati watu walimchangia fedha ambazo amesema harudishi. Mwenyekiti gani wa aina hii?
 
Vip kuhusu sokwe wenu wa miaka 80 huko lumumba ana faa cheo alicho nacho
 
Akuvutie wewe mgonjwa wa Malaria 2 ili iweje? Akuoe au..?
 
Hapa umetukuza ukuu wa Mungu au mamlaka fedhuli za duniani?
 
CCM mbona mnaweweseka?
 
Ujinga ni mzigo!!!
 
Tundu Lissu hana mvuto wa Mwenyekiti wa Chama makini!
Anaweza kuongoza CHADEMA maana huko kumejaa watu wengi " wanaongea ongea" na kufikiri baadaye!
Chama makini hakiwezi kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti.
Ni msema hovyo , hajui aseme nini wapi na kwa akina nani!!
Anaweza kuhojiwa na Mwanahabari chizi na bado akafunguka utadhani Kuna nati zimelegea kichwani kwake!!
 
we dada lissu ameoa ana mke na watoto tafuta mabachela akina lucas mwashwambwa ukabubujike nae
 
Una vinasaba vya ushoga wewe unataka mwanume mwenzako akuvutie nini sasa? Na huko kwenu Zanzibar ushoga umeshika kasi na kuipiku Mombasa bila shaka wewe uko sokoni kutafuta basha.
 
Vipi kuhusu huyu mgonjwa wenu wa malale huu ndiyo mvuto?
 

Attachments

  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 2
Mbona wewe hauna mvuto wa kuolewa lakini hatukusemi, duniani hajawahi kutokea kiumbe akawa na mvuto kwa watu wote ndiyo sababu baadhi ya wanaotaka kuoa hawajakutongoza.
 
Amepwaya kiasi hata waliomchagua sasa hivi wanajiuliza kama walifanya uamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…