Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Kaolewe na mwenye mvuto
 
Uko sahihi .Lisu hana mvuto wala haiba ya uenyekiti,hana akili wala uwezo wa kuweza hicho cheo iwe kiakili,kiuongozi,kifedha kiutawala na ki mvuto

Chadema wamechemka mno kumuweka
Ushahidi kwa yeyote anayebisha aitishe hata mkutano wa hadhara tu mmoja tu Dar wa kujitambulisha kama ndie mwenyekiti mpya wa Chadema akipata wahudhuriaji mia huo mkutano ni muujiza

Lisu hamna kitu

Ndio maana hata hotuba akitaka kutoa anakimbilia mitandaoni sio mikutano ya hadhara kukwepa aibu
Kautoe ujauzito aliokupa
 
Tundu Lissu hana mvuto wa Mwenyekiti wa Chama makini!
Anaweza kuongoza CHADEMA maana huko kumejaa watu wengi " wanaongea ongea" na kufikiri baadaye!
Chama makini hakiwezi kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti.
Ni msema hovyo , hajui aseme nini wapi na kwa akina nani!!
Anaweza kuhojiwa na Mwanahabari chizi na bado akafunguka utadhani Kuna nati zimelegea kichwani kwake!!
Mtamfilisi Mbowe!! Kawamwaga wengi sana mitandaoni japo haimsaidii
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Nani amekuambia JF ni jukwaa la wajinga? Umeleta ujinga usipstahili kuwepo.

Mtu from nowhere anakuja JF eti sijui makamu anatakiwa awe kama nani, na mwenyekiti anatakiwa awe kama fulani. Very stupid!!. Anatakiwa na nani? Mnatuharibia JF. Leteni hoja sensible, siyo mambo ya upuuzi kama ilivyo hii mada.
 
Una vinasaba vya ushoga wewe unataka mwanume mwenzako akuvutie nini sasa? Na huko kwenu Zanzibar ushoga umeshika kasi na kuipiku Mombasa bila shaka wewe uko sokoni kutafuta basha.
Mimi kwetu Oman, pia maaskofu na mapadri wa ulaya wanaongoza kwa ushoga na kulawiti watoto ktk makazi ya walezi
 
Siyo kweli. Nchi zinazoingoza kwa ulawiti, ninchi za kiarabu. Wazungu wanaoongoza kwa kuweka wazi.

Hata hala Tanzania, taabia hizo chafu zipo maeneo yaliyokaliwa na waarabu: Zanzibar, Tanga, Dar.
Kwa Kenya, uchafu huo upo zaidi Mombasa.
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Malaria hiyo mimba ya TAL hujajifungua tu
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Daah unamfananisha lissu na mama yenu! Utakua na matatizo ya ubongo.
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Kwa kigezo kipi mkuu
 
Back
Top Bottom