Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Hebu ,nimsaidie kujibu mleta maada muulize Lisu kwa nini muda wote alikuwa akimsema vibaya Mbowe na kumdhalilisha alimkomkosea nini?
Mkuu, umejiandaaje kupokea hotuba kabambe ya m/kiti wa cdm taifa mh Tundu Lissu.
 
N
Uko sahihi .Lisu hana mvuto wala haiba ya uenyekiti,hana akili wala uwezo wa kuweza hicho cheo iwe kiakili,kiuongozi,kifedha kiutawala na ki mvuto

Chadema wamechemka mno kumuweka
Ushahidi kwa yeyote anayebisha aitishe hata mkutano wa hadhara tu mmoja tu Dar wa kujitambulisha kama ndie mwenyekiti mpya wa Chadema akipata wahudhuriaji mia huo mkutano ni muujiza

Lisu hamna kitu

Ndio maana hata hotuba akitaka kutoa anakimbilia mitandaoni sio mikutano ya hadhara kukwepa aibu
Ndio mpo semina ya kumkabili lissu. 🙄😄
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Endelea kumuota mbowe ndo bac tena
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Kama Lissu hana mvuto kaolewe na huyu hapa handsome boy
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
Mtu akiogopewa na wenzako wanamuwekea mkakati asipite na wengine Hadi kumpiga risasi ,Leo unasema amepwaya hili ni tatizo kubwa sana la akili ( Borderline personality disorder ) . Yaani una mood swing ..pole Sana
 
Huku kajimaliza mwenyewe ilitakiwa abakie kwenye uharakati tamaa ya fisi.
Uenyekiti unataka mwanasiasa na sio mwanaharakati
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
Kizazi cha 2000+ ndio shida yenu!
Msekwa
Malecela
Mangula
Kinana
Hawa wote walikuwa makamu wenyeviti, nani kati yao alikuwa na mipasho?
 
Makamo mwenyekiti anatakiwa awe msemaji sana, mzungumzaji sana na mpiga vijembe sana kama vile Wasira au lissu alivyokuwa makamo.

Mwenyekiti anatakiwa awe mtulivu sana na kuzungumza kama mama Samia na mbowe alipokuwa mwenyekiti.
Lissu kwa nafasi alionayo uenyekiti amepwaya sana.
CHADEMA WAMEINGIZWA CHAKA
 
Uko sahihi .Lisu hana mvuto wala haiba ya uenyekiti,hana akili wala uwezo wa kuweza hicho cheo iwe kiakili,kiuongozi,kifedha kiutawala na ki mvuto

Chadema wamechemka mno kumuweka
Ushahidi kwa yeyote anayebisha aitishe hata mkutano wa hadhara tu mmoja tu Dar wa kujitambulisha kama ndie mwenyekiti mpya wa Chadema akipata wahudhuriaji mia huo mkutano ni muujiza

Lisu hamna kitu

Ndio maana hata hotuba akitaka kutoa anakimbilia mitandaoni sio mikutano ya hadhara kukwepa aibu
Uko sahihi anayebisha ni mjinga kabisa
 
Back
Top Bottom