LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Sawa, tumekuelewa ndo maana Chama makini kimemchagua mzee wa ubwabwa Cha ChaummaTundu Lissu hana mvuto wa Mwenyekiti wa Chama makini!
Anaweza kuongoza CHADEMA maana huko kumejaa watu wengi " wanaongea ongea" na kufikiri baadaye!
Chama makini hakiwezi kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti.
Ni msema hovyo , hajui aseme nini wapi na kwa akina nani!!
Anaweza kuhojiwa na Mwanahabari chizi na bado akafunguka utadhani Kuna nati zimelegea kichwani kwake!!