Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Sawa, tumekuelewa ndo maana Chama makini kimemchagua mzee wa ubwabwa Cha Chaumma
 
Kweli kabisa lisu kwenye uenyekiti tayari amepwaya, huyu alichaguliwa kiushabiki zaidi na huo ushabiki ukavalishwa kofia ya demokrasia.
 
Mimi kwetu Oman, pia maaskofu na mapadri wa ulaya wanaongoza kwa ushoga na kulawiti watoto ktk makazi ya walezi
Kwa hiyo ndiyo maana umeamua kukigawa kipira chako kama njugu za kuonja siyo? Kafir mkubwa wewe , dini zote zinakataza huo uchafu.
 
Sisi hatutaki mvuto
 
Wewe sio Malaria 2 inayokusumbua, pia una element za u (KE)
 
Zio lazima Lissu akupe mbegu kama hakuvutii, unaweza kuendelea na Mbowe mwenye mvuto
 
Lisu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa hio cheo kinataka mwanasiasa
Mwanasiasa ndo huyo aliyeshindwa na Mwanaharakati?

Si mlisema wenyewe kuwa zikaamue Kura? Haya Kura zimeamua inakuwaje mnalialia tena!?

Wewe ni umbwa.
 
mvuto upi alionao unautaka? eleza tu usituonee aibu - mahali tutaleta.
 
Mvuto kwani anatafuta mchumba au wewe mkewe useme hana mvuto?
 
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye Chai- JK NYERERE
 
Ndugu sijawahi kuuzulia mkutano wowote wa kisiasa lakini lissu akiitisha mkutano dar nitabeba familia yangu yore
 
Mnapenda wanaume wenye mvuto?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…