Lissu hana mvuto wa Uwenyekiti

Hebu ,nimsaidie kujibu mleta maada muulize Lisu kwa nini muda wote alikuwa akimsema vibaya Mbowe na kumdhalilisha alimkomkosea nini?
Mkuu, umejiandaaje kupokea hotuba kabambe ya m/kiti wa cdm taifa mh Tundu Lissu.
 
N
Ndio mpo semina ya kumkabili lissu. 🙄😄
 
Endelea kumuota mbowe ndo bac tena
 
Kama Lissu hana mvuto kaolewe na huyu hapa handsome boy
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
Mtu akiogopewa na wenzako wanamuwekea mkakati asipite na wengine Hadi kumpiga risasi ,Leo unasema amepwaya hili ni tatizo kubwa sana la akili ( Borderline personality disorder ) . Yaani una mood swing ..pole Sana
 
Huku kajimaliza mwenyewe ilitakiwa abakie kwenye uharakati tamaa ya fisi.
Uenyekiti unataka mwanasiasa na sio mwanaharakati
 
Kizazi cha 2000+ ndio shida yenu!
Msekwa
Malecela
Mangula
Kinana
Hawa wote walikuwa makamu wenyeviti, nani kati yao alikuwa na mipasho?
 
CHADEMA WAMEINGIZWA CHAKA
 
Uko sahihi anayebisha ni mjinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…