Lissu, Heche na Lema mnataka mtumie "ulipo tupo"? Mnaenda kujimaliza kisiasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"
"ulipo tupo"

Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana.
Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political science UDSM, ni mtu aliekubalika Zanzibar na duniani.

Heche, LEMA, LISSU
Lema siasa yake ni uzoefu sio ya kusoma darasani. Heche kilichomnyanyua kisiaasa ni kelele na ukali bungeni. Lkn nakumbuka uchaguzi mmoja alishindwa na Ester matiko, Mbowe akambeba kumueeka kamati kuu. Lissu mwanasheria aliebobea sio mwanasiasa msomi.

Siasa za Tanzania Bara ni tofauti, watu wanajali zaid maslahi fedha , unaweza ukajikuta na wanachama 10. Mnaweza kuhamia CHAUMA Mkajikuta mnatengenezewa mgogoro ndani ya CHAUMA mkahangaika nao, Mnakataka kuhamia ACT nako mkakwama.

Ushauri wangu: Tulieni msisikilize mihemko ya mitandaoni itakupotezeni kisiasa
 
Eti Heche nae ana press conference leo! Ahahahahaha!!
 
Hao watatu hawawezi kupambana na Mbowe.

Muda, ni mwalimu mzuri yusubiri Jan 21.
 
Kila mtu aaweza kuwa na mkutano na waandishi wa habari. Sioni tatizo kama kuna havari muhimu anataka kutuhabarisha umma.
Ni kukosa kanuni za kiittifaki. Ila kama atazungumzia kugombea uongozi kitaifa, sawa maana ni wakati wake huu.
 
Hawa jamaa watashangaa, wajifunze kwa Dr. Slaa ambaye hata wote watatu + msigwa wakiungana hawafikii nguvu na ushawishi aliokuwa nao Dr.
Yaani Heche, Lissu, Lema, Msigwa wotee hawamfikii Dr Slaa enzi zake.

Tunakumbuka alipomaliza press yake tu ya choo kuletwa sebureni ( yaani EL kuja CDM) watu walitegemea CDM imefika.mwisho - wapi ndugu.
Sasa tusubiri ya hawa jamaa wa Clubhouse!!
 
Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"
"ulipo tupo"

Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana.
Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political science UDSM, ni mtu aliekubalika Zanzibar na duniani.

Heche, LEMA, LISSU
Lema siasa yake ni uzoefu sio ya kusoma darasani. Heche kilichomnyanyua kisiaasa ni kelele na ukali bungeni. Lkn nakumbuka uchaguzi mmoja alishindwa na Ester matiko, Mbowe akambeba kumueeka kamati kuu. Lissu mwanasheria aliebobea sio mwanasiasa msomi.

Siasa za Tanzania Bara ni tofauti, watu wanajali zaid maslahi fedha , unaweza ukajikuta na wanachama 10. Mnaweza kuhamia CHAUMA Mkajikuta mnatengenezewa mgogoro ndani ya CHAUMA mkahangaika nao, Mnakataka kuhamia ACT nako mkakwama.

Ushauri wangu: Tulieni msisikilize mihemko ya mitandaoni itakupotezeni kisiasa
..Yaani wajimalize kisiasa kutomuunga mkono mbowe?😂😂
 
Ni kukosa kanuni za kiittifaki. Ila kama atazungumzia kugombea uongozi kitaifa, sawa maana ni wakati wake huu.
Tumsikize kwanza, inawezekana ana jambo muhimu anataka kuliambia taifa. Ni mmoja kati ya viongozi wakweli asiyependa rushwa kwa jinsi ninavyomsoma. Naweza kuwa namsoma vibaya. Tumpe nafasi.
 
Bro huyo Heche nimesoma nae miaka mitatu. Sio kama unavyomfikiria
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Siasa ni mtaji wa watu ulionao.

Kwa sasa alipofikia Lisu ni Sawa na alipofikia maalim Seif .
Maalim alikuwa na nguvu kisiasa kwa sababu nyingi, moja ya kihistoria, ubaguzi kwa wapemba, utetezi wa uzanzibari. Lissu hakuna anachosimamia, na hana community iliyoapata kufa naye kama ilivyokuwa kwa maalim
 
Tumsikize kwanza, inawezekana ana jambo muhimu anataka kuliambia taifa. Ni mmoja kati ya viongozi wakweli asiyependa rushwa kwa jinsi ninavyomsoma. Naweza kuwa namsoma vibaya. Tumpe nafasi.
Juzi tu amehongwa matrekta akaanza na kulima ufuta, hata nyumba yake ya nyegezi, mwanza ni matunda ya rushwa
 
Back
Top Bottom