acheni udini,kama hamna hoja siyo lazima muandike.
Na nyie mkiambia Mudi alikuwa muuaji na mbakaji mnatoa povu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie mkiambia Mudi alikuwa muuaji na mbakaji mnatoa povu.
Mwambie Malaria 2 aliyeanzisha huu upuuziacheni udini,kama hamna hoja siyo lazima muandike.
Pumba tupuWakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"
"ulipo tupo"
Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana.
Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political science UDSM, ni mtu aliekubalika Zanzibar na duniani.
Heche, LEMA, LISSU
Lema siasa yake ni uzoefu sio ya kusoma darasani. Heche kilichomnyanyua kisiaasa ni kelele na ukali bungeni. Lkn nakumbuka uchaguzi mmoja alishindwa na Ester matiko, Mbowe akambeba kumueeka kamati kuu. Lissu mwanasheria aliebobea sio mwanasiasa msomi.
Siasa za Tanzania Bara ni tofauti, watu wanajali zaid maslahi fedha , unaweza ukajikuta na wanachama 10. Mnaweza kuhamia CHAUMA Mkajikuta mnatengenezewa mgogoro ndani ya CHAUMA mkahangaika nao, Mnakataka kuhamia ACT nako mkakwama.
Ushauri wangu: Tulieni msisikilize mihemko ya mitandaoni itakupotezeni kisiasa
Utahangaika sana, huyo sultani kafika mwisho wake.Maalim alikuwa na nguvu kisiasa kwa sababu nyingi, moja ya kihistoria, ubaguzi kwa wapemba, utetezi wa uzanzibari. Lissu hakuna anachosimamia, na hana community iliyoapata kufa naye kama ilivyokuwa kwa maalim
Wewe fala tu mambo ya Chadema yanakuhusu niniKwa bahati wote wanaopigania chadema ni WA dini moja
Inapokea ruzuku kupitia kodi yanguWewe fala tu mambo ya Chadema yanakuhusu nini
Wewe ni mkojani kodi yako inaishia Zanzibar. Sawa sawa?Inapokea ruzuku kupitia kodi yangu