RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Ndio team gani?.Maria team?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio team gani?.Maria team?
..Kwa hyo mbowe ndo chama?Mbowe akishinda hao jamaa watakimbilia wapi?
Umeongelea hisia zako ambazo ni tofauti kabisa na uhalisia.Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"
"ulipo tupo"
Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana.
Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political science UDSM, ni mtu aliekubalika Zanzibar na duniani.
Heche, LEMA, LISSU
Lema siasa yake ni uzoefu sio ya kusoma darasani. Heche kilichomnyanyua kisiaasa ni kelele na ukali bungeni. Lkn nakumbuka uchaguzi mmoja alishindwa na Ester matiko, Mbowe akambeba kumueeka kamati kuu. Lissu mwanasheria aliebobea sio mwanasiasa msomi.
Siasa za Tanzania Bara ni tofauti, watu wanajali zaid maslahi fedha , unaweza ukajikuta na wanachama 10. Mnaweza kuhamia CHAUMA Mkajikuta mnatengenezewa mgogoro ndani ya CHAUMA mkahangaika nao, Mnakataka kuhamia ACT nako mkakwama.
Ushauri wangu: Tulieni msisikilize mihemko ya mitandaoni itakupotezeni kisiasa
Siyo tu kazi wanayo, bali wanaadhihirisha walivyo watupu kichwani na kimaarifa.Ccm kazi mnayo mwaka huu😁😁😁
Hao wote hawakuwa wanawatukana wajumbe na viongozi wao, walikuwa wakipingana nje ya vyama vyao. Hapa tunamfananisha Marehumu Seif vs Lissu , Lema na Heche. Mgogoro wao unafanana. Hapa unatakiwa utumie political science kuchomoka. Ujue pembeni ipo afisi ya msajili umeisahau mgogoro wa Cuf ilivyosimamia ?Umeongelea hisia zako ambazo ni tofauti kabisa na uhalisia.
Jiulize:
1) Nyerere alisomea political science?
2)Mandela alisomea political science?
3) Obama alisomea political science?
4) Raila Odinga alisomea political science?
5) Hichilema alisomea Political Science?
Ukipata majibu ya maswali hayo, rudi uijenge hoja yako mpya, kwa sababu haina ukweli wowote iwe wa kisayansi, kihistoria au kiuhalisia.
Kama ni chama cha DJ ndiyo tutajua kwenye uchaguzi huu, aking'ang'ania madaraka watu watamuacha peke yake. Muda utaongea.DJ ndio mwenye chama na kamwajiri Heche. Wewe ungeenda kwa nani?
CHADEMA haina msemaji?Eti Heche nae ana press conference leo! Ahahahahaha!!
Lissu yupo sana ChademaSikubaliani na eti TAL atapotea kisiasa akitoka cdm akubali kusajili chama km zito asije kibali kuingia chama kingine Cha upizani huo itakua mwisho wa kisiasa lkn anzishe chama aachane na kikoba Cha wachaga
Wewe poyoyo ghafla uko kwa Mbowe wakati juzi tu ulikuwa unamkandia una umalaya wa kishamba sanaWewe waache wavimbe vichwa halafu waje kuona mavuno yake.kikubwa ni lazima wakubali ya kuwa hawawezi kushindana na Mwamba na Jabali la siasa za upinzani Mheshimiwa Freeman Mbowe
Lissu alikua anawatetea wananchi Bure huko kwao IKUNGI kutojana na michango ya lazima ya Kijiji na nbio za mwenge na usipoa mifugo Yako inachukuliwa. Alifanya haya kabla ya hata kuwa mbuge.Maalim alikuwa na nguvu kisiasa kwa sababu nyingi, moja ya kihistoria, ubaguzi kwa wapemba, utetezi wa uzanzibari. Lissu hakuna anachosimamia, na hana community iliyoapata kufa naye kama ilivyokuwa kwa maalim
Ila Maalim alikua Ngangari zaidiSiasa ni mtaji wa watu ulionao.
Kwa sasa alipofikia Lisu ni Sawa na alipofikia maalim Seif .
Mmengekuwa makini mngeliishaondoka.Kama ni chama cha DJ ndiyo tutajua kwenye uchaguzi huu, aking'ang'ania madaraka watu watamuacha peke yake. Muda utaongea.
Tumaini, Molemk, Mmawia na sasa Erythrocyte hakuna anayejua kinachoendelea ndani ya chama maana kila mtu ana sharubu ndani chama!CHADEMA haina msemaji?
Ukiona watu waliokuwa wanamponda Mbowe hapo kabla sasa hivi wanamuunga mkono basi ujue ni walewale machawa wa ccm. That's all.Wewe poyoyo ghafla uko kwa Mbowe wakati juzi tu ulikuwa unamkandia una umalaya wa kishamba sana
Siasa ni mtaji wa watu ulionao.
Kwa sasa alipofikia Lisu ni Sawa na alipofikia maalim Seif .
Ndivyo mnavyoambiwa kwenye mimbari ya msikiti wa manyema?Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"
"ulipo tupo"
Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf imekufa na ACT ndio inayoonekana.
Hii kwa sababu Maalim ni gwiji la siasa, amesomea political science UDSM, ni mtu aliekubalika Zanzibar na duniani.
Heche, LEMA, LISSU
Lema siasa yake ni uzoefu sio ya kusoma darasani. Heche kilichomnyanyua kisiaasa ni kelele na ukali bungeni. Lkn nakumbuka uchaguzi mmoja alishindwa na Ester matiko, Mbowe akambeba kumueeka kamati kuu. Lissu mwanasheria aliebobea sio mwanasiasa msomi.
Siasa za Tanzania Bara ni tofauti, watu wanajali zaid maslahi fedha , unaweza ukajikuta na wanachama 10. Mnaweza kuhamia CHAUMA Mkajikuta mnatengenezewa mgogoro ndani ya CHAUMA mkahangaika nao, Mnakataka kuhamia ACT nako mkakwama.
Ushauri wangu: Tulieni msisikilize mihemko ya mitandaoni itakupotezeni kisiasa
Unamtishq nani sasa. Sisi tunamwachia saccos yake mbowe imfieWakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"