Lissu, Heche na Lema mnataka mtumie "ulipo tupo"? Mnaenda kujimaliza kisiasa

Hayakuhusu wewe nenda kwenye mihadhara ya kutukana Ukristo ndiyo saizi yako. Mtu wa CCM kutwa unamshambulia Lissu utafikiri kakugongea mkeo.
 
Waafrika mna wivu wa kijinga sana.
 
Hayakuhusu wewe nenda kwenye mihadhara ya kutukana Ukristo ndiyo saizi yako. Mtu wa CCM kutwa unamshambulia Lissu utafikiri kakugongea mkeo.
Ukiristo wapi umetukanwa? Mkiambiwa Yesu sio Mungu kwa mujibu wa Biblia ndii kutukanwa?
 
Na hii ndiyo nia kuu ya CCM. Mnataka Lissu na watu wema wajitoe Chadema ili Chadema kife rasmi.

Mlifanya kwa NCCR mkafanikiwa,mlifanya kwa CUF mkafanikiwa na naona saivi mnataka kufanya na kwa Chadema.

Ila kama Mungu alivyo hai nawahakikishia hii ndoto yenu haitatimia maana hata watu wanaowasaidia kufanya hiyo mipango wamewachoka.
 
umekuja kivingine.
 
Mipango ipi? Uchaguzi utakuwa huru na live jee mtakataa matokeo?
 
Duh, watu huwa wanabadilika wengine kuwa waadilifu, kupigania taifa na wengine kuwa wezi, wabadhirifu na wahuni wakipata nafasi.

Ni mtu wa aina gani unavyomfahamu?
Si leo ana press hapa Jijini Mwanza? Ebu mtonye mwandishi mojawapo amuulize pesa za EDUCHE!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…