Lissu, Heche na Lema mnataka mtumie "ulipo tupo"? Mnaenda kujimaliza kisiasa

IPE credit source Yako 😄😄
 
Kutoka 2015 mpaka sasa nimiaka 10 kasoro miezi. nyakati zinabadilika watu wengi wanaomuunga mkono Lissu nikizazi cha 90 ambapo sasa Wana miaka 25-35.
 
Hukushangaa ya Wenje uje ushangae ya Heche? Huyo Wenje hata hajulikani ukilinganisha na Heche.
Mpaka sasa wanachadema wote wamemuogopa Wenje kwenye Umakamu Mwenyekiti. Inaaminika hata Lissu kuacha kugombea Umakamu Mwenyekiti ni hofu ya kushindwa na Wenje kaona bora akashindwe na Mbowe! Ahahahahaha!!!!
 
Umefikiria lakini kama nguvu na muungano wa hao uliowaunganisha plus wengineo uliwezesha kufeli kwa huyo Dk. Slaa? Kila mmoja hapo alikuwa na upepo si haba.

Leo hii wakitoka wote hao pengo lao halitoweza kuonekana?

Ila kwa uzezeta wa watanzania, si ajabu kweli CDM ya Mbowe na uchafu wake wote (ikiwemo uwakala wake wa sisiem) bado inaweza kuendelea kudunda!
 
Ujinga ni pale unaposahau kuwa Heche ni mtu makini. Ni mwenyekiti mstaafu wa BAVICHA.
 
Ukweli ndiyo huo, hutaki hamia TLP na jamaa zako mkajenge chama.
 
Kumbe kwenye mambo ya siasa upo vizuri
 
Nyie ni wanafiki wakubwa. Yaani watu mnajua kuongea maneno mengi yasiyo na maana yoyote na kila wakati mnaona jinsi kila moja asivyofaa wakati nyie hatujaona kufaa kwenu.

Kwa nini basi nyie mnaofaa msianzishe vyama vyenu ili muiondoe hii saratani ya ccm iliyoiua nchi yetu kuliko kuwa nyota wa kujikunja tu kwenye keyboard na kukosoa wengine. Bure kabisa.
 
TAL km anatka kusimama kisiasa asajili chama kipya

zito aliweza kusimama kisiasa vzr tu mpk ameacha uongozi Kwa heshima dkt slaa huwez kumlinganisha na TAL

kwasababu TAL ana mtaji wa.wtu wengi wao ni wanatk mageuz ndani ya upzan wko tayr kupata viongoz wenye mitazomo ya uendeshaji upizani kisiasa Zaid lkn wanakosa viongozi wenye uthubutu TAL sifa hio uthubutu anayo


Sasa dkt slaa alichokifanya hakikupokelewa na wananchi km maamuzi yk yalikuwa na maslah ya upizani Kwa wkt ule alionekna mbinafs Zaid
Sikubaliani na eti TAL atapotea kisiasa akitoka cdm akubali kusajili chama km zito asije kibali kuingia chama kingine Cha upizani huo itakua mwisho wa kisiasa lkn anzishe chama aachane na kikoba Cha wachaga
 
Sasa kati ya dj na Heche, wewe unaweza kwenda na nani?.

Yule dj angelikuwa karatasi basi lingekuwa la kuchambia
DJ ndio mwenye chama na kamwajiri Heche. Wewe ungeenda kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…