Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

Lengo liwe ni moja tu, kuiangusha CCM, hayo mengineyo hayana umuhimu wowote kwa sasa.

Dalili ni nzuri sana, hilo pekee ndilo liwe kichocheo cha kusonga mbele bila kujali "ugumu wala kukenuliana meno.
Uiangushe CCM bila kuwa na chama kingine chadema chini ya Mbowe haiwezi labda ikibadilisha mwenyekiti lakini siyo huyu
 
Kugumu kwasababu Kuna Uchaguzi Mkuu na Chadema HAWATARAJII kupata kiti chochote cha ubunge. Ni hilo tu alilomaanisha.
 
 

Hivi species kama Lissu Zilisoma vipi ILBORU? Yaani toka apigwe risasi amerudi kachanganyika na kuwa mtu wa hovyo. Aende hospital pengine zile risasi ziliaffect CNS.
 
eti wapi pagumu 🤣

sanaa imepata mahali yake kwa mwigizaji mkuu
 

Attachments

  • IMG_20210926_154439.jpg
    45.6 KB · Views: 1
Ugumu ni kitendo cha CCM kuikwepa katiba mpya, upinzani ni lazima utumie nguvu zote kuilazimisha CCM nchi ipate katiba mpya, Tanzsnia ni yetu sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…