LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Lissu kamwaga upupu kwa kutangaza Nia, machawa wote ccm na WA mwamba wanakimbizana😂😂Kazingua sana mleta mada,eti anatumia uhuru wa kuposti thread.
Hopeless kabisa huyu mleta mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kamwaga upupu kwa kutangaza Nia, machawa wote ccm na WA mwamba wanakimbizana😂😂Kazingua sana mleta mada,eti anatumia uhuru wa kuposti thread.
Hopeless kabisa huyu mleta mada.
Msigwa foundation ipo nyuma ya LissuLissu kamwaga upupu kwa kutangaza Nia, machawa wote ccm na WA mwamba wanakimbizana😂😂
Kuliko Ile ya Samia kumchangia mbowe mil 150 za gari la askofu shoo😂😂Msigwa foundation imemchanga Lissu
Tatizo lissu anajifanya hahongeki, anamisammo, kumbe kanunuliwa kupitia Msigwa, kuchamba kwingi hubaki na mavi ndio sasaKuliko Ile ya Samia kumchangia mbowe mil 150 za gari la askofu shoo😂😂
Mwananchi haliaminiki. Linaweza kutumika kirahisi kumchafua Lissu.Ukisoma gazeti la mwananchi liliandika mchango wa Msigwa ktk harakati za Lissu
Lisssu anaendeshwa na Maigwa kama mtoto mdogoMwananchi haliaminiki. Linaweza kutumika kirahisi kumchafua Lissu.
Amandla ...
msigwa anapewa pes ccm kuvuruga cdmAcha hizo
Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa
Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana
Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza [emoji3][emoji3]
Haijawahi kutokea na haito tokea, pole sana kwa kuchukulia siasa seriousHii ya project ya Msigwa kwa Lissu, msigwa ccm ndio maana itatoka
Hilo lipo wazi kwamba Lissu anaendeshwa na msigwaHaijawahi kutokea na haito tokea, pole sana kwa kuchukulia siasa serious
Mlengwa ni Lissumsigwa anapewa pes ccm kuvuruga cdm
Sikatai angalizo lako boss wangu, ila sitaki kuamini wapiga kura wa cdm tena kwa ngazi ya mkutano mkuu hawawezi kitambua ukweli na uzushi. Kama wapo basi ni wachache, ila ninaamini wengi watapiga kura kutokana na sera za mgombea, na sio uzushi wa machawa huku mitandaoni.Mkuu Tindo hilo lilikuwa na madhara gani ndani ya chama? Lakini hili ni kubwa kwani linaweza kuharibu uchaguzi wa chama chetu kwa huu UONGO kwani kuna watu watamnyima kura Lissu sababu ya kuruhusu uongo uonekane ni ukweli.
H😂😂😂 kama hiyo ndio conclusion yako basi nchi ina safari ndefu sanaHilo lipo wazi kwamba Lissu anaendeshwa na msigwa
Yaani Msigwa kaondoka cdm na cdm haijavurugika, lakini anaweza kupewa vijisenti vya kuivuruga cdm?! Mbona kama sielewi utetezi huu?msigwa anapewa pes ccm kuvuruga cdm
Kama amefanya hivyo basi ana nia ovu na chama. Na wanatumika kugawa chama. Maana suala la kugombea uenyekiti sio tatizo bali tatizo ni nia iliyo nyuma.Ni ajabu sana watu niliokuwa nawaamini kukuta jambo kubwa kama hili mnalichukulia kwa udogo!
Kulipiwa, kuratibiwa na mipango mingine sio kuwa hawezi kuifanya mwenyewe Lissu, lakini why ajihusishe Msigwa? Hivi mkuu adui wa chama chako anakulipia hata mafuta ya gari kwa safari yako ya kichama laki tuu utasema ni sawa? Kwani hukuwa na laki ya mafuta? Kwa nini afanye hivyo na kwa nia gani?
Hizo ni ndoto. Msigwa atasema lolote kwa sababu yuko desperate anatafuta legitimacy na relevance.Lisssu anaendeshwa na Maigwa kama mtoto mdogo
Kwa kuwa mligharimia haiwezekani Msigwa nae kuchangia? Kama liliwekwa wazi mtandaoni tuwekeeni link ili na sisi tuone. Hii nchi imani kwa mwanasiasa yeyote imepungua sana hivyo mnapaswa ku counter allegations zozote zenye nia ya kumchafua mtu wenu. Mimi nilikataa kabisa kuwa Halima na wenzake wanaweza fanya waliofanya na sasa wako wapi! Sitaki kuamini kuwa Lissu anaweza kuwa kama wao lakini ninahitaji assurance kuwa sivyo. Simuamini Msigwa lakini ukiumwa na nyoka....
Amandla...