Pre GE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kazingua sana mleta mada,eti anatumia uhuru wa kuposti thread.
Hopeless kabisa huyu mleta mada.
Lissu kamwaga upupu kwa kutangaza Nia, machawa wote ccm na WA mwamba wanakimbizana😂😂
 
Mbowe alishatangaza hadharani sumu haionjwi na Lisu aneshaonja tayari.

Ila hatutakubali yamtokee ya Chacha Wangu, safari hii tutamnyoosha gaidi
 
Acha hizo

Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa

Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana

Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza [emoji3][emoji3]
msigwa anapewa pes ccm kuvuruga cdm
 
Mkuu Tindo hilo lilikuwa na madhara gani ndani ya chama? Lakini hili ni kubwa kwani linaweza kuharibu uchaguzi wa chama chetu kwa huu UONGO kwani kuna watu watamnyima kura Lissu sababu ya kuruhusu uongo uonekane ni ukweli.
Sikatai angalizo lako boss wangu, ila sitaki kuamini wapiga kura wa cdm tena kwa ngazi ya mkutano mkuu hawawezi kitambua ukweli na uzushi. Kama wapo basi ni wachache, ila ninaamini wengi watapiga kura kutokana na sera za mgombea, na sio uzushi wa machawa huku mitandaoni.
 
Kama amefanya hivyo basi ana nia ovu na chama. Na wanatumika kugawa chama. Maana suala la kugombea uenyekiti sio tatizo bali tatizo ni nia iliyo nyuma.
 
Ni utoto na uchanga wa kisiasa kuanza kuhoji kuhongwa kwa Lissu ,,, kuna vitu vingi vimefanyika katika siasa ya nchi hii kuihusu CHADEMA vimeachwa kwa dhana ya uhalisia wa SIASA yenyewe... ACHENI UNAFKI...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…