Pre GE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kelele za wajinga, wanafiki, waongo zipo nyingi na zipo kila siku. Lisu atawajibu wangapi na mara ngapi?

Anayetoa tuhuma, kama ni za kweli, aweke uthibitisho. Lakini Lisu asipoteze muda wake kujibu kila kelele ya mnafiki, punguani anayefurahisha genge.
 
Kwa kusoma trend ,nashawishika kuamnini ameratibiwa kuandaa press na mtu au watu wa upande ule
Ukiwa mjinga utaamini hivyo. Mjinga anaweza kuropoka chochote, wenye akili ndio wenye jukumu la kupuuza au kuzingatia. Hao waliotoa tuhuma ni watu wendawazimu, wangekuwa na akili japo kidogo wangeleta uthibitisho au vielelezo vya kuthibitisha maneno yao. Kwa sasa tunaamini walichokifanya ni uropokaji wa kutaka kujua kama kuna watu wasio na akili watakaozingatia uropokaji wao.

Lisu angekuwa amepewa pesa na hao ambao mnawasema, asingehangaika kuomba watu wasaidie kugharamia kikao chake.

Fuatilia historia ya Lisu. Tangu kale hadi sasa, hakuna mtu aliyewahi kuthibitisha Lisu aliwahi kutumia au kupokea hongo toka kwa mtu au taasisi yoyote ile. Na hiyo imemfanya awe mtu huru wa fikra na misimamo yake wakati wote.
 
Yaani kutangaza nia nako mpaka walipie. Msigwa kawa Don siku hizi kumbe.
Hayo ni maneno ya wanafiki punguani. Wangekuwa na akili japo kidogo wanfetengeneza uwongo unaokaribiana na ukweli kuliko huu ambao hata mtoto anayeanza kujua masuala ya siasa, anajua ni uwongo.

Mtu anaropoka bila ya kuweka kielelezo hata cha kugusha halafu anaamini kuna ounguani kama yeye watakaoamini!!
 
Hoja hapa Lissu ajibu pesa za press kazipata wapi?? kama kachamgiwa na wanachama aonyeshe uthibitisho maana yeye ni mwanasheria, tunaanzia hapo kwanza.
Kwa maswali ya kijinga kama haya, kuna siku punguani watataka Lisu aseme hela ya chakula amepata wapi!!! Tena watu wengi punguani nchi hii. Ndiyo maana hata wakipanga uwongo, nao unakuwa umekaa hivyo hivyo, kipunguani punguani!!
 
Akikujibu mm ntamdharau sana lissu
 
Kwa maswali ya kijinga kama haya, kuna siku punguani watataka Lisu aseme hela ya chakula amepata wapi!!! Tena watu wengi punguani nchi hii. Ndiyo maana hata wakipanga uwongo, nao unakuwa umekaa hivyo hivyo, kipunguani punguani!!
Mchezo hautaki hasira huu, kwa hiyo unatetea kwamba hakuna haja ya yeye kusema hela za Press kazitoa wapi siyo!!
 
Brother usiingizwe chakike kirahisi hivyo na chama chawala..
 
Japo suala la Msigwa kuchangia ni uzushi lakini kama ingakuwa kweli basi hilo lingekuwa ni tatizo, Msigwa ni enemy wa mabadiliko na anafanya kila lililo ndani ya uwezo wake kuangusha/kuchafua CHADEMA sasa anawezaje kuchangia kama si kwa nia ovu?
Angalizo: Msigwa hajachangia hata Senti.
 
Msigwa anamuendesha Lissu kwa remote popote alipo
 
Yaani Msigwa wa kumgharamia Lissu😃.
Looks like siku hizi Chakaza ameanza Kuchakazwa na wenzake.
Akishajibia hiyo scandal mliyoitengeneza mtakuja na ipi nyingine? Kwanini usimuulize huyo aliyekwambia akuthibitishie?
 
Katika uozo uliowahi kuwa pale CHADEMA ni huyo two headed serpent Slaa, duniani anza kuogopa mtu mnafiki. Alichokifanya baada ya kununuliwa hana tofauti na Msigwa. Pamoja na kwamba kumchukua Lowassa kwa sababu ya ushawishi aliokuwa wakati ule na akawasaidia kuongeza idadi ya wabunge siamini kama ulikuwa ni uamuzi sahihi kwani faida ilikuwa kubwa lakini Lowassa hakuwa stable yaani ile kutikiswa kidogo tu na Mwendakuzimu akaufyata mkia japo hajawahi kuporomosha shutma kwa nia ya kuhujumu CHADEMA kama ilivyofanywa na Slaa pamoja na mwenzake Msigwa.
 
Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Msigwa hana hela, amechoka na kufubaa kama dekio la chooni.

Mm nwmdai Msigwa hela ya gunia 3 za mkaa na trey za mayai 10.
 
Wachagga hamnaga akili kabisa 😂

Lisu anajaza Mafuta kwenye Prado daily ashindwe vijisenti vya kale kaukumbi 😀😀
Ukumbi ulichangiwa japo si na yule mwehu Msigwa, diaspora ni watu wenye exposure hivyo wanajua faida ya mageuzi.
 
So unatutukana sisi wana Katavi sio?
 
Yericko Nyerere nafahamiana nae ,mpaka amesema hili hadharani ,silichukulii kimasihara
 
Mchango ni mchamgo tu ndugu as long aa hauna masharti, kwa hiyo msigwa qkimchangia vimilioni kadhaa ndo anaweza kumnunua simba? Unajua hawa vijana wa 2000 wamezaliwa wakamkuta Lissu kamaliza zile mission zake za ujanani! Wameshindwq marais tangu mkapa then jiwe akaona yeye kuua tu ndo solution so hata hata msigwa angechanga bado ingekua ni sawa tu na kumchangia mwamposa
 
Hujaeleza hizo taarifa za Msigwa kumwendesha Lissu umezipata wapi mkuu 'Chakaza'? Huoni kuwa na wewe unaweza kuwa unatumiwa tu kusambaza mikanganyiko ndani ya chama?

Kinacho nishangaza ni kwa mtu kama Msigwa naye sasa kupewa hadhi kubwa asiyo kuwa na uwezo nayo!

Kama "unamwamini sana" kwa nini uwe na mchecheto kiasi hiki na jambo ambalo halina mshiko kama hili?

Mimi nitaungana na wewe; kwamba, huko mbele ya safari, "urafiki" wa Lissu na huyo Msigwa isiwe sababu ya mtu mbovu kama huyo kumshirikisha tena katika maswala ya chama au serikali wakati akisha tupwa kama takataka huko CCM aliko kimbilia. Huyu Msigwa amejijengea hadhi ile ile waliyo jitafutia wale mabinti 19; ambao pia hawafai kabisa kuingizwa kwenye shughuli zozote za chama au serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…