Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee bongo hii hii?
Chini ya jua vimeshindikana vitu viwili tu, Uzee na Kifo. Hayo mengine yote yanawezekana. Mfano jwtz wakiamua kumsupport lissu kwa 100% hata akiwa kwenye chama cha ubwawa, si anakuwa Rais Ajaye 2025.
 
Embu tujadili honestly with an Open mind and clear heart .

Mbowe , ni mwanasiasa wa kumshinda LISSU Kwenye Uchaguzi huru na haki???????

LISSU huyu huyu ambaye ameproov kua Sahihi kwenye masuala mengi hapa nchini .
uko sahihi na mbowe hashindi mbele ya lissu bila kufanya sarakasi
 
Chini ya jua vimeshindikana vitu viwili tu, Uzee na Kifo. Hayo mengine yote yanawezekana. Mfano jwtz wakiamua kumsupport lissu kwa 100% hata akiwa kwenye chama cha ubwawa, si anakuwa Rais Ajaye 2025.
Dah probability ni ndogo sana. Labda SAU kama bado kipo
 
Embu tujadili honestly with an Open mind and clear heart .

Mbowe , ni mwanasiasa wa kumshinda LISSU Kwenye Uchaguzi huru na haki???????

LISSU huyu huyu ambaye ameproov kua Sahihi kwenye masuala mengi hapa nchini .
Usibishane na wajinga....

..Ni Hayo Tu!
 
Aondoke CHADEMA haraka..
 
Dah probability ni ndogo sana. Labda SAU kama bado kipo
Hakuna cha probability wala nini kwani maaskari hawataki Ubwabwa? Kwa nini wasikiunge mkono chama cha ubwawa. Halafu Lissu akihamia kwenye chama cha ubwawa hana haja ya kampeni, mtu akila ubwawa ni kampeni tosha
 
Hawezi kuhama zaidi atastaafu siasa
 
Moderator msiruhusu nyuzi za uzushi kama hizi kuwepo jukwaani zinawaharibieni credibility yenu.
CC:-
JamiiForums
 
Embu tujadili honestly with an Open mind and clear heart .

Mbowe , ni mwanasiasa wa kumshinda LISSU Kwenye Uchaguzi huru na haki???????

LISSU huyu huyu ambaye ameproov kua Sahihi kwenye masuala mengi hapa nchini .
Hakutakuwa na uchaguzi huru wala haki. Sasa ni dhamiri Mbowe anaoperate kwa staili zile zile za CCM na Dola yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…