mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
- Thread starter
- #41
Hii ni tetesi inayokaribiana na ukweli take easy.Moderator msiruhusu nyuzi za uzushi kama hizi kuwepo jukwaani zinawaharibieni credibility yenu.
CC:-
JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni tetesi inayokaribiana na ukweli take easy.Moderator msiruhusu nyuzi za uzushi kama hizi kuwepo jukwaani zinawaharibieni credibility yenu.
CC:-
JamiiForums
Watasema anahamia TLP kwa Mzee wa Kiraracha wa Chama cha Jogoo kapanda MweweDuh! Tetesi zimezidi kuwa nyingi. Walisema atahamia chama cha ubwawa, leo mna tetesi anaenda nccr, je kesho mtakuja na tetesi ipi?
😂😂we jamaa Jogoo kafanyaje tenaWatasema anahamia TLP kwa Mzee wa Kiraracha wa Chama cha Jogoo kapanda Mwewe
tusubiri uchaguzi wa chadema upite na mbowe aendelee kuwa kiongozi wa chama chakeHii inaenda kutimia mkuu
hatupingi, kama mbowe atafanya sarakasi ni dhahiri lissu ataondoka chadema tuMuda utazungumza
Tangazo la mkutano linaonyesha ishara zote za wazi, kwamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anakwenda kujiengua rasmi chadema.Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa nyavuni. Hii ataijua baada ya uchaguzi tar 21 Januari na kuendelea.
Mod msiufute huu uzi.
Hajajaa. Ila CHADEMA nayo itadhoofika mana hakuna kitu Mbowe atawaambia wanachama wakamuelewa. Muda utaongea.Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa nyavuni. Hii ataijua baada ya uchaguzi tar 21 Januari na kuendelea.
Mod msiufute huu uzi.
Mnahangaika sana nyie wachaga. Lisu lazima awe mwenyekiti wa chadema upende usipendeMshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa nyavuni. Hii ataijua baada ya uchaguzi tar 21 Januari na kuendelea.
Mod msiufute huu uzi.
usiwachukulie poa watu wa mitandaoni ndio wana uwezo mkubwa wa kuathiri maamuzi ya mbuzi hao wachache wanaopiga kura kumchagua mbowePoll za mtandaoni labda
Ila wakuu inashangaza sana watu wanavyokichukulia chama cha ubwabwa wakati kipo makini kuliko vyama vingi tu vya upinzani.Chini ya jua vimeshindikana vitu viwili tu, Uzee na Kifo. Hayo mengine yote yanawezekana. Mfano jwtz wakiamua kumsupport lissu kwa 100% hata akiwa kwenye chama cha ubwawa, si anakuwa Rais Ajaye 2025.
Kwani mtu akishindwa lazima ashamed? Kwanini wapinzani hawajifunzi kwa CCM? Ina maana mtu anakuwa mwanachama tu ili apate madaraka? Kwani hawezi kutulia na akajaribu wakati mwingine tena?Embu tujadili honestly with an Open mind and clear heart .
Mbowe , ni mwanasiasa wa kumshinda LISSU Kwenye Uchaguzi huru na haki???????
LISSU huyu huyu ambaye ameproov kua Sahihi kwenye masuala mengi hapa nchini
Chama cha mzee wa UbwabwaIla wakuu inashangaza sana watu wanavyokichukulia chama cha ubwabwa wakati kipo makini kuliko vyama vingi tu vya upinzani.
Wakili Rungwe anasema watanzania wanashangaa anaposema atapeleka maji ya bahari Dodoma na kuyasafisha ili wakazi wapate maji safi ya kunywa, wanaona ni uongo na jambo lisilowezekana, ila watanzania haohao hawashangai mafuta kusafirishwa kwenye bomba kutoka Dar es Salaam -Tanzania mpaka Zambia (TAZAMA).
Mi ni mmakutu sio mchagaMnahangaika sana nyie wachaga. Lisu lazima awe mwenyekiti wa chadema upende usipende
We ni mwanachama wa CDM? au ni mpenzi mtazamajiHajajaa. Ila CHADEMA nayo itadhoofika mana hakuna kitu Mbowe atawaambia wanachama wakamuelewa. Muda utaongea.
Kila muda ambao Mbowe atakuja na matamko yakw watu watampuuza mana ameng'ang'ania kiti wakati kachuja
Huu ni uwongo 1000%Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga.
Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa nyavuni. Hii ataijua baada ya uchaguzi tar 21 Januari na kuendelea.
Mod msiufute huu uzi.
Mkuu hahami mtu hapa, tutabanana humohumoCHAUMA ndio chama halisi la upinzani kwa sasa, hao wengine wachumia tumbo tu