Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

Which is which? mara kuhamia ccm, mara act, mara chauma, mara sau, mara cck, mara tadea, mara nccr, mara udp, tlp na kwingine pote anazushiwa kuhamia huko. cha ajabu nini wakati majukwa ya kufanya siasa ni mengi?
 
lissu anazushiwa kuhamia kila chama hata ccm nako anazushiwa kuhamia huko aliko msigwa
..lissu ni dhahabu, Kila mtu anahitaji, uzushi ni mwingi mno.Lissu sio aina ya wanasiasa malayamalaya.
 
Which is which? mara kuhamia ccm, mara act, mara chauma, mara sau, mara cck, mara tadea, mara nccr, mara udp, tlp na kwingine pote anazushiwa kuhamia huko. cha ajabu nini wakati majukwa ya kufanya siasa ni mengi?
Huo mkakati unamtengenezea na maadui zake ndani ya chama na baadhi ya wanaccm.
 
CCM wamecheza kama Pele hapa, Lissu akienda NCCR chadema itakuwa imepasuka vipande 3 na haitakuwa na nguvu, na mission itakuwa accomplished🦾💪
 
Tetesi humu ndani kuhusu lissu zimekuwa nyingi sana, wanaobashiri ni ccm, too bad 90% huwa havitokei
 
Kachelewa sana mkuu
 
Ninachofurahi tu ,wengi waliovuma wakiwa CHadema ,wakihamia vyama vingine tu wanapotea MAZIMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…