Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

Embu tujadili honestly with an Open mind and clear heart .

Mbowe , ni mwanasiasa wa kumshinda LISSU Kwenye Uchaguzi huru na haki???????
Pengine unawaza kuwa ni uchaguzi ambao wananchi wanaenda kupiga kura. Nadhani umekosa kujua ni wajumbe wa mkutano, huenda hujui hata idadi yake na wanavyopatikana.
Uchaguzi ukiwa huru na haki, Lissu anapata robo ya kura za Mbowe. Ndio maana ameanza kupitapita kabla hata ya muda wa kampeni
 
Reactions: Tui
Huko kuta mfaa maana ndicho chama cha mapandikizi kama ACT
 
Kwake atakuwa hajakosea.Atakuwa amerudi nyumbani kwani kabla ya kukimbilia Chadema alitoka huko huko NCCR Mageuzi.Akalete mageuzi huko.
 
Mnahangaika sana nyie wachaga. Lisu lazima awe mwenyekiti wa chadema upende usipende
Hivi wachaga wamewakosea nini?

Nani alimzuia babu yako kuja mjini mapema?

Yani mtu atoke maporni huko kwenye fisi akifika hapa ni kufokea wachaga..

Wamewakosea nini?

Kama hujui wachaga wananufaika zaidi na CCM kuliko Chadema .. jfyi
 
Reactions: Tui
Kwani lazima awe mwanasiasa

Anaweza endeleza na kazi zake za uwakili
 
Kuna kitu kinaitwa NCCR?
 
Unapiga ranli tu.
Huna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…