Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kimbungaa kilianzia Kanda ya Pwani

Kesho ndio kesho kimbunga kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim

Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi

BAWACHA, BAVICHA, BAZECHA Mwanachama na Mwananchi tukutane Mbagala Zakheim

Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu

Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,

Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani.

 
Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana Mbagala?

Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyomi.
 
Hahahahah najiuliza tu kwanini wasanii Wana siasa wakitaka kufanya matamasha ya wazi huchagua Sana mbagala?????? Ningependa kumuona Mtu Anae jiona anakubalika anafanyia mkutano msasani tuone Kama kweli atapata nyom
Mwambie Jiwe
 
Amepewa kibali na Jeshi la polisi na uongozi wa mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…