Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

AMANDLA!

2499282_Ed2iwyJX0AA_jMh.jpg
 
Sasa watu wengine bhana wakishindwa hoja wanakimbilia udini na ukabila....kwan lisu na mwalimu ni kabila gani.?acheni uchoko wa kijingaa sikilizeni hojaa za watu...mamaye
Umenisoma vema au umekurupuka Mkuu? Soma kwanza alichoandika niliyemquote
 
Kimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani

Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim

Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi

Bawacha, Bavicha,Bazecha,mwanachama na mwananchi tukutane Mbagala Zakheim

Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu

Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,

Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha ccm madarakani. View attachment 1549850View attachment 1549851
Kimenuka !
 
Kwahiyo cdm awamu hii Pete ya wajenzi huru mmeamua mmuvike mgombea mweza tofaut na 2015 ilivaliwa na mgombea urais
 
Kimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani

Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim

Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi

Bawacha, Bavicha, Bazecha, mwanachama na mwananchi tukutane Mbagala Zakheim

Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu

Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,

Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani. View attachment 1549850View attachment 1549851
Ebu tazama vizuri hilo 'tabasamu' la Mgombea Mwenza. Hivi linaonesha kweli ni la mtu anayetarajia kuwa "Makamu wa Rais"?
 
Ebu tazama vizuri hilo 'tabasamu' la Mgombea Mwenza. Hivi linaonesha kweli ni la mtu anayetarajia kuwa "Makamu wa Rais"?
Hayo maswali kawaulize wacheza ndombolo wenzako wa lumumba
 
Back
Top Bottom